// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TWANGA PEPETA ILIVYOPAGAWISHA JANA MANGO, WALIKUWEPO WANENGUAJI WA MASHUJAA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TWANGA PEPETA ILIVYOPAGAWISHA JANA MANGO, WALIKUWEPO WANENGUAJI WA MASHUJAA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Sunday, September 22, 2013

        TWANGA PEPETA ILIVYOPAGAWISHA JANA MANGO, WALIKUWEPO WANENGUAJI WA MASHUJAA

        MEWEKWA SEPTEMBA 22, 2013 SAA 4;50 ASUBUHIMwimbaji nyota wa bendi ya Africans Stars, Kalala Junior akiimba kwenye onyesho la bendi hiyo maarufu kama Twanga Pepeta jana kwenye ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni, Dar es Salaam. 

        Wanenguaji wakiburudisha

        Mnenguaji wa bendi ya Mashujaa, Suzan akitumbuiza katika jukwaa la Twanga Pepeta jana 

        Mnenguaji wa Mashujaa akimkatia mauno shabiki wa Twanga jana

        Vijana wa shoo Twanga Pepeta

        Hawatuwezi; Mkurugenzi wa Twanga Pepeta, Asha Baraka kushoto akinong'ona na mdogo wake, Omar Baraka jana Mango

        Shabiki huyu alisogea karibu na jukwaa na kulala kama unavyomuona ili kupata burudani vizuri

        Huyu muziki mzuri wa Twanga ulimpa usingizi mnono

        JB na Baba Hajji wa Bongo Movie

        Watu wakicheza Twanga kwa raha zao

        Asha Baraka akiwa na shoga yake Asha Kigundula. Kulia ni mume wa Asha K. Kigundula 

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: TWANGA PEPETA ILIVYOPAGAWISHA JANA MANGO, WALIKUWEPO WANENGUAJI WA MASHUJAA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry