Kiungo wa Simba SC, Abdulhalim Humud 'Gaucho' akienda chini baada ya kuchezewa rafu na beki wa JKT Ruvu, Amos Mgisa |
Mshambuliaji wa Simba SC, Betram Mombeki akibusu kiatu cha kiungo Ramadhani Singano 'Messi' baada ya kufunga bao la pili |
Abdulhalim Humud akimtoka Salum Machaku kabla ya kupiga krosi iliyozaa bao la pili |
Haroun Chanongo akipambana na beki wa JKT Ruvu |
Amos Mgisa akituliza mpira gambani mbele ya beki wa Simba SC, Adeyoum Seif |
Gilbert Kaze wa Simba SC kushoto akigombea mpira na Bakari Kondo wa JKT Ruvu |
Haruna Shamte wa Simba SC akipambana na mchezaji wa JKT Ruvu |
Bakari Kondo akimtoka Gilbert Kaze wa Simba SC |
Alhaj Zege wa JKT Ruvu akipambana na Adeyoum Seif wa Simba SC kulia |
Omar Mtaki wa JKT Ruvu anayecheza kwa mkopo kutoka Azam, akimdhibiti Betram Mombeki |
Abdulhalim Humud 'Gaucho' akimuacha chini Salum Machaku |
Amri Kiemba akimtoka Salum Machaku |
Amri Kiemba akimuacha chini Nashon Naftali wa JKT Ruvu |
Omar Mtaki alimdhibiti vizuri Amisi Tambwe akaambulia kufunga bao moja tu kwa penalti |
Mtaisoma SImba 2013; Mashabiki wa Simba SC kwa raha zao |
Haloo, Simba SC mwaka huu inatisha; Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe kushoto akizungumza na simu huku akifuatilia mchezo |