// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC ILIVYOKABWA KOO NA MBEYA CITY TAIFA LEO...DHAIRA HANA HAMU NA WALE WATOTO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC ILIVYOKABWA KOO NA MBEYA CITY TAIFA LEO...DHAIRA HANA HAMU NA WALE WATOTO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, September 21, 2013

    SIMBA SC ILIVYOKABWA KOO NA MBEYA CITY TAIFA LEO...DHAIRA HANA HAMU NA WALE WATOTO

    IMEWEKWA SEPTEMBA 21, 2013 SAA 3:30 USIKU
    Biashara gani hii; Kipa wa Simba SC, Abbel Dhaira akiwa amepiga magoti kipweke, baada ya Mbeya City kupata bao la kusawazisha na toa sare ya 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo. 

    Jonas Mkuse akigombea mpira wa juu na mchezaji wa Mbeya City

    Winga wa Mbeya City, Deofratius Julius akiwatoka mabeki wa Simba SC

    Amri Kiemba wakiwania mpira na Anthony Matogolo wa Mbeya City

    Paul Nonga wa City akimiliki mpira katikati ya mabeki wa Simba SC, Hassan Hatibu na Joseph Owino kulia

    Betram Mombeki wa Simba kulia akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Mbeya City

    Mombeki na mabeki wa Mbeya City

    Mombeki na mabeki wa Mbeya City

    Mombeki na mabeki wa Mbeya City

    Mfungaji wa mabao mawili ya Simba SC leo, Amisi Tambwe akipambana na mabeki wa Mbeya City

    Paul Nonga wa Mbeya City akimtoka Amri Kiemba wa Simba SC

    Twaha Ibrahim wa Simba SC akimlamba chenga beki wa Mbeya City 

    Paul Nonga wa Mbeya City akimtoka Amri Kiemba 

    Hatari kwenye lango la Mbeya City

    Wachezaji wa Mbeya City wakiomba dua kabla ya mechi

    Twaha Ibrahim wa Simba akimpiga chenga beki wa Mbeya City

    Haroun Chanongo wa Simba SC akifumua shuti mbele ya beki wa Mbeya City

    Kikosi cha Mbeya City leo

    Kikosi cha Simba SC leo

    Benchi la Simba SC baada ya Mbeya City kusawazisha

    Mashabiki wa Mbeya City waliosafiri kutoka Mbeya

    Mashabiki wa Simba SC Taifa leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOKABWA KOO NA MBEYA CITY TAIFA LEO...DHAIRA HANA HAMU NA WALE WATOTO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top