Na Iwedi Ojinmah, IMEWEKWA SEPTEMBA 23, 2013, SAA 8:12 USIKU
TIMU ya Niger imefanikiwa kutetea Kombe la vijana chini ya umri wa miaka Airtel Rising Stars jana baada ya kuifunga Zambia kwa penalti 7-6.
Pamoja na mvua, kulikuwa kuna watu wengi uwanjani na Niger ilipata bao la mapema la kuongoza, lakini Zambia wakawasazisha zikiwa zimesalia dakika saba.
Ikumbukwe Niger iliwatoa wenyeji, Nigeria kwa penalti 8-7 wakati Zambia iliitoa Tanzania kwa mabao 4-3 katika Nusu Fainali juzi.

Kikosi cha vijana wa Tanzania. Wametolewa katika Nusu Fainali na Zambia. |