Stefano Mwasyika wa Ruvu Shooting akimdhibiti Mrisho Ngassa |
Wachezaji wa Yanga na Ruvu wakigombea mpira |
Hamisi Kiiza akiugulia maumivu baada ya kuchezewa rafu na Stefano Mwasyika |
Beki wa Ruvu Shooting George Michael akimpiga ngumi mshambuliaji wa Yanga SC, Hamisi Kiiza |
Kazi kweli kweli...kama siyo soka vile |
Krosi ya bao; Mrisho Ngassa akipga krosi iliyounganishwa na Hamisi Kiiza kwa tik tak kuipatia Yanga SC bao pekee la ushindi |
Simon Msuva akiwakimbiza mabeki wa Ruvu Shooting |
Haruna Niyonzima akimtoka kiungo wa Ruvu |
Hamisi Kiiza alikaribia kufunga kipindi cha kwanza kabla ya kufunga bao pekee kipindi cha pili |
Didier Kavumbangu akimuacha chini beki wa Ruvu |
Shaaban Suzan wa Ruvu Shooting akikabiliana na mshambuliaji wa Yanga SC, Didier Kavumbangu |
Beki wa Yanga SC, Kevin Yondan akipanda kusaidia mashambulizi |
Ayoub Kitala akipambana na Mrisho Ngassa, huku Cossmas Lewis akiwa tayari kutoa msaada |
Stefano Mwasyika akimuacha chini Simon Msuva |
11 walioanza Yanga SC leo |
11 wa Ruvu Shooting walioanza leo |
Beki wa Ruvu akimuweka chini mshambuliaji wa Yanga SC, Didier Kavumbangu |