// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MSHAHARA MPYA WA RONALDO NA HISTORIA YA MISHAHARA MIKUBWA YA WACHEZAJI DUNIANI...PIA WAJUE WANANE WANAOLIPWA ZAIDI KWA SASA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MSHAHARA MPYA WA RONALDO NA HISTORIA YA MISHAHARA MIKUBWA YA WACHEZAJI DUNIANI...PIA WAJUE WANANE WANAOLIPWA ZAIDI KWA SASA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, September 16, 2013

    MSHAHARA MPYA WA RONALDO NA HISTORIA YA MISHAHARA MIKUBWA YA WACHEZAJI DUNIANI...PIA WAJUE WANANE WANAOLIPWA ZAIDI KWA SASA

    IMEWEKWA SEPTEMBA 16, 2013 SAA 3:45 USIKU
    MSHAHARA mpya wa Cristiano Ronaldo wa Pauni 288,000 kwa wiki baada ya makato ya kodi ni rekodi. Kutoka Sportsmail BIN ZUBEIRY inakuletea historia ya mishahara mikubwa ya wachezaji ambavyo imekuwa ikipanda miaka na miaka.
    We're scratching our heads too, Cristiano: Ronaldo now takes home an eye-watering £288,000-per-week
    Tunaumiza vichwa vyetu pia Cristiano: Ronaldo sasa anaondoka na kitita cha Pauni 288,000 kwa wiki


    Wakati Johnny Haynes anakuwa mchezaji wa kwanza kulipwa Pauni 100 kwa wiki mwaka 1961 watu walichanganyikiwa na kiwango hicho cha mshahara.
    pata picha watauchukuliaje mshahara mpya wa Cristiano Ronaldo wa Pauni 288,000 baada ya kodi.
    Wakati huo wachezaji ghali zaidi alikuwa analipwa Pauni 20 kwa wiki England hadi Januari 18, mwaka 1961.
    Jimmy Hill, Fulham, 1953: Pauni 20 kwa wiki 
    Jimmy Hill, Fulham
    Johnny Haynes, Fulham, 1961: Pauni 100 kwa wiki
    Johnny Haynes (left)
    George Best, Man United, 1968: Pauni 1,000 kwa wiki 
    George Best
    Falcao, Roma, 1980: Pauni 10,000 kwa wiki 
    Falcao
    Roberto Baggio, Juventus, 1990: Pauni 50,000 kwa wiki
    Roberto Baggio
    Sol Campbell, Arsenal, 2001: Pauni 100,000 kwa wiki
    You could pay someone to do that for you: Sol Campbell
    Carlos Tevez, Man City, 2009: Pauni 200,000 kwa wikiThat should fund a few days out at the golf: Carlos Tevez
    Wayne Rooney, Man Utd, 2010: Pauni 250,000 kwa wiki
    Thanks for the money: Wayne Rooney
    Cristiano Ronaldo, Real Madrid, 2013: Pauni 
    288,000 kwa wiki (baada ya makato ya kodi)
    Rich Ronaldo

    NYOTA NANE WANAOLIPWA 'PESA CHAFU' DUNIANI...

    1 Ronaldo (Real Madrid) Pauni Milioni 15 kwa mwaka
    2 Lionel Messi (Barcelona) Pauni Milioni 13.41 kwa mwaka
    3 Neymar (Barcelona) Pauni Milioni 12.57 kwa mwaka
    4 Zlatan Ibrahimovic (PSG) Pauni Milioni 12.16 kwa mwaka
    5 Radamel Falcao (Monaco) Pauni Milioni 11.74 kwa mwaka
    6 Wayne Rooney (Man Utd) Pauni Milioni 11.57 kwa mwaka
    7 Sergio Aguero (Man City) Pauni Milioni 11.31 kwa mwaka
    8 Yaya Toure (Man City) Pauni Milioni 10.90 kwa mwaka

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MSHAHARA MPYA WA RONALDO NA HISTORIA YA MISHAHARA MIKUBWA YA WACHEZAJI DUNIANI...PIA WAJUE WANANE WANAOLIPWA ZAIDI KWA SASA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top