// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KIPA WA RUVU SHOOTING NA 'KATA K' YA 'UTAJIJU' DHIDI YA YANGA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KIPA WA RUVU SHOOTING NA 'KATA K' YA 'UTAJIJU' DHIDI YA YANGA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, September 29, 2013

    KIPA WA RUVU SHOOTING NA 'KATA K' YA 'UTAJIJU' DHIDI YA YANGA JANA TAIFA


    IMEWEKWA SEPTEMBA 29, 2013 SAA 6:00 MCHANA
    Kipa wa Ruvu Shooting, Abdul Seif akiwa amevaa bukta yake staili ya Kata K katika mechi ya jana ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Yanga SC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kipa huyo chipukizi alidaka vizuri na kutunguliwa mara moja tu, timu yake ikilala 1-0 mbele ya mabingwa hao wa Ligi Kuu.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KIPA WA RUVU SHOOTING NA 'KATA K' YA 'UTAJIJU' DHIDI YA YANGA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top