// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KIONGOZI SIMBA SC AMVAA NGASSA TAIFA, AMUAMBIA KWA NINI... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KIONGOZI SIMBA SC AMVAA NGASSA TAIFA, AMUAMBIA KWA NINI... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, September 29, 2013

    KIONGOZI SIMBA SC AMVAA NGASSA TAIFA, AMUAMBIA KWA NINI...

    IMEWEKWA SEPTEMBA 29, 2013 SAA 7:10 MCHANA
    Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Ibrahim Masoud 'Maestro' alimfuata Mrisho Ngassa jana karibu na chumba cha kubadilishia nguo cha timu yake, kuzungumza naye. Maestro ambaye pia ni mtangazaji wa kituo cha Redio Clouds alikuwa akimlalamikia mchezaji huyo kutopokea simu zake. Ngassa aliisaidia Yanga kushinda 1-0 dhidi ya JKT Ruvu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.   

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KIONGOZI SIMBA SC AMVAA NGASSA TAIFA, AMUAMBIA KWA NINI... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top