Mkono wa kulia wa dereva la basi la Yanga SC, Maulid Kiula ulivyojeruhiwa na mashabiki wa Mbeya City |
Maulid Kiula, dereva wa basi la Yanga |
Meneja wa Uwanja wa Sokoine akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mayai matatu aliyoyaondoa katikati ya Uwanja kabla ya kuanza kwa mechi hiyo |
Yanafaa kula? Mayai yaliyoandikwa Kiarabu yaliyotolewa uwanjani kabla ya mchezo kuanza |
Bendera ya Mbeya City na maandishi wa Kiarabu |
Basi la Yanga likiwa chini ya uangalizi wa Polisi Uwanja wa Sokoine lisishambuliwe zaidi |
Mashabiki wa Yanga kutoka Tunduma |
Walikuwepo mashabiki pia kutoka Dar es Salaam kama hawa tawi la Tandale kwa Mtogole, lakini hawakutamba mbele ya mashabiki wa Mbeya City |