// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BALOTELLI AENDELEZA MAKALI YA PENALTI AKIINUSURU AC MILAN KUTOTA, KAKA AANZA KAZI A BEJI YA UNAHODHA ROSSONERI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BALOTELLI AENDELEZA MAKALI YA PENALTI AKIINUSURU AC MILAN KUTOTA, KAKA AANZA KAZI A BEJI YA UNAHODHA ROSSONERI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, September 15, 2013

    BALOTELLI AENDELEZA MAKALI YA PENALTI AKIINUSURU AC MILAN KUTOTA, KAKA AANZA KAZI A BEJI YA UNAHODHA ROSSONERI

    IMEWEKWA SEPTEMBA 15, 2013 SAA 2:47 ASUBUHI
    MSHAMBULIAJI Mario Balotelli ameinusuru AC Milan kulala baada ya kufunga kwa penalti na kufanya sare ya 2-2 na Torino, ambao walikuwa wanapigania ushindi wa kwanza The Rossoneri ndani ya miaka 12.
    Macho ya wengi yalikuwa kwa Kaka, ambaye alikuwa anarejea rasmi Milan baada ya miaka minne ya kuitumikia Real Madrid, lakini Torino ikatangulia kupata mabao mawili kipindi cha pili.
    Nahodha, Danilo D'Ambrosio na Alessio Cerci waliifungia mabao hayo Il Toro na kuiatamanisha ushindi wa kwanza dhidi ya Milan tangu Novemba 2001 na Sulley Muntari akaipunguzia Rossoneri bao moja baadaye, kabla ya Balotelli kusawazisha kwa penalti dakika ya 90.
    Wakati huo huo, Napoli ilishinda 2-0 dhidi ya Atalanta Uwanja wa Stadio San Paolo na kupanda kileleni.
    Timu ya Rafael Benitez.
    Leaving it late: Mario Balotelli stroked home a penalty with the last kick of the game to rescue a point for Milan
    Mkali wa matuta: Mario Balotelli akipiga penalti iliyoinusuru Milan
    Leaving it late: Mario Balotelli stroked home a penalty with the last kick of the game to rescue a point for Milan
    Balotelli baada ya kufunga
    He's back: Kaka was made captain for his first game back for AC Milan after re-joining from Real Madrid
    Amerudi: Kaka alipewa beji ya Unahodha wa AC Milan jana baada ya kurejea kutoka Real Madrid
    AC Milan's Kaka
    AC Milan's Kaka
    Kaka jana akiichezea kwa mara ya kwanza AC Milan baada ya kurejea
    On top: Rafa Benitez's Napoli beat Atalanta to maintain their 100 per cent start to the Serie A season
    Kileleni: Kocha wa Napoli, Rafa Benitez ameifunga Atalanta na kuendeleza rekodi ya ushindi kwa asilimia 100 Serie A msimu huu
    On top: Rafa Benitez's Napoli beat Atalanta to maintain their 100 per cent start to the Serie A season

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BALOTELLI AENDELEZA MAKALI YA PENALTI AKIINUSURU AC MILAN KUTOTA, KAKA AANZA KAZI A BEJI YA UNAHODHA ROSSONERI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top