Kevin Yondan aliokoa kwa kichwa mpira wa Brian Umony ukamkuta John Bocco akaukwamisha nyavuni kuipatia Azam bao la kwanza |
Farid Mussa wa Azam akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Yanga SC, Mbuyu Twite |
Farid Mussa akimiliki mpira kushoto pembe ya Mbuyu Twite |
John Bocco akitafuta mbinu za kumtoka Mbuyu Twite |
Joackins Atudo wa Azam kulia akiwania mpira dhidi ya winga wa Yanga SC, Simon Msuva kushoto |
Waziri Salum akimtoka Simon Msuva |
Simon Msuva akimtoka Waziri Salum |
Athumani Iddi 'Chuji' wa Yanga SC akimtoka Farid Mussa wa Azam |
Azam wakishangilia bao la pili lililofungwa na Kipre Tchetche |
Brian Umony akifurahia pasi yake kuzaa bao, huku kipa wa Yanga SC, Ally Mustafa 'Barthez' wakiwa wamekaa nyavuni |
Yanga wakishangilia bao la pili |
Hamisi Kiiza akimtoka Said Mourad |
Didier Kavumbangu wa Yanga akiwanai mpira wa juu |
Mwandishi wa gazeti la Mwanaspoti, Dorris Maliyaga akiwa kazini Uwanja wa Taifa leo. Hapa ni baada ya Azam kupata bao la tatu |
Haruna Niyonzima akimtoka Brian Umony |
Farid Mussa leo alimtesa sana Mbuyu Twite |
Kevin Yondan akiambaa na mpia baada ya kuokoa |
Didier Kavumbangu akimiliki mpira ya kipre Balou |
Humphrey Mieno akizuia mpira uliopigwa na Nadir Haroub 'Cannavaro' |
Himid Mao akiwatoka viungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' na Frank Domayo |
Tutafukuzwa, au? Benchi la Ufundi la Yanga kutoka kula Kocha Mkuu Mholanzi Ernie Brandts, Msaidizi wake, Freddy Felix Minziro, kocha wa makipa Mkenya, Razack Ssiwa na Daktari, Nassor Matuzya. |
Kikosi cha Yanga SC leo |
Kikosi cha Azam FC leo |