
Monday, September 30, 2013

IMEWEKWA SEPTEMBA 30, 2013 SAA 10:37 JIONI WACHEZAJI wa Crystal Palace, Marouane Chamakh na Dean Moxey ilibidi watenganishwe na wachezaj...
MCHAKATO WA KATIBA MPYA SIMBA SC WAINGIA AWAMU YA PILI
Monday, September 30, 2013
Na Ezekiel Kamwaga, IMEWEKWA SEPTEMBA 30, 2013 SAA 10:12 JIONI MARA baada ya kupokea maoni mbalimbali kutoka kwa wadau wake kuhusu mapend...
NGASSA AJIFUA KIVYAKE COCO, AAANZA RASMI KUCHANGISHA FEDHA ZA KUPOZA MACHUNGU YA MILIONI 45 ZA SIMBA SC
Monday, September 30, 2013
Na Mahmoud Zubeiry, IMEWEKWA SEPTEMBA 30, 2013 SAA 7:27 MCHANA MSHAMBULIAJI nyota Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa leo alifanya mazoezi ma...
YANGA SC: SERIKALI INATUKWAMISHA KUJENGA UWANJA WA KISASA
Monday, September 30, 2013
IMEWEKWA SEPTEMBA 30, 2013 SAA 7:23 MCHANA LEO tungependa kupitia kwenu kutoa taarifa kuhusu maendeleo ya mradi wetu wa Uwanja wa kisasa w...
KIEMBA WA SIMBA APATA UGONJWA KAMA UNAOMTESA MESSI BARCA
Monday, September 30, 2013
Na Mahmoud Zubeiry, IMEWEKWA SEPTEMBA 30, 2013 SAA 2:00 ASUBUHI KIUNGO tegemeo wa Simba SC, Amri Ramadhani Kiemba amepata ugonjwa sawa na...
PREVIEW LIGI YA MABINGWA ULAYA; MESSI NJE WIKI TATU NA KIMBEMBE MBELE YA ARSENAL, MAN UTD, MAN CITY NA CHELSEA SI CHA KITOTO
Monday, September 30, 2013
IMEWEKWA SEPTEMBA 30, 2013 SAA 6:52 USIKU KUELEKEA Ligi ya Mabingwa Ulaya wiki hii, mechi za hatua ya makundi, BIN ZUBEIRY inakuletea ...
Sunday, September 29, 2013
SUAREZ AFUNGA MARA MBILI LIVERPOOL IKIIKUNG'UTA SUNDERLAND 3-1 LIGI KUU ENGLAND
Sunday, September 29, 2013
IMEWEKWA SEPTEMBA 29, 2013 SAA 3:50 USIKU MSHAMBULIAJI Luis Suarez amerejea na moto katika Ligi Kuu ya England baada ya kumaliza adhabu ...
SIMBA SC ILIYOZIDI KUPAA LIGI KUU LEO, ANGALIA MAVITU YA TAMBWE SI MCHEZO
Sunday, September 29, 2013
IMEWEKWA SEPTEMBA 29, 2013 SAA 3:24 USIKU Mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe akipambana na beki wa JKT Ruvu, Omar Mtaki anayechez...
MANCINI ATUA UTURUKI KUSAINI MKATABA MNONO WA KUIFUNDISHA GALATASARAY
Sunday, September 29, 2013
IMEWEKWA SEPTEMBA 29, 2013 SAA 2:08 USIKU KOCHA Roberto Mancini leo amekwenda mjini Istanbul, Uturukikufanya mazungumzo ya kusaini Mkata...
SIMBA SC YAZIDI KUTISHA LIGI KUU, HUYO TAMBWE AISEE BALAA, AZAM SARE MBEYA, ASHANTI YAIKATALIA MTIBWA CHAMAZI
Sunday, September 29, 2013
Na Mahmoud Zubeiry, IMEWEKWA SEPTEMBA 29, 2013 SAA 4:30 ASUBUHI SIMBA imezidi kujitanua kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ku...
KIONGOZI SIMBA SC AMVAA NGASSA TAIFA, AMUAMBIA KWA NINI...
Sunday, September 29, 2013
IMEWEKWA SEPTEMBA 29, 2013 SAA 7:10 MCHANA Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Ibrahim Masoud 'Maestro' alimfuata Mrisho...
Subscribe to:
Posts (Atom)