// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WENGER AANZA VIBAYA LIGI KUU ENGLAND, AFUMULIWA 3-1 NA VILLA NA MAJERUHI WAONGEZEKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WENGER AANZA VIBAYA LIGI KUU ENGLAND, AFUMULIWA 3-1 NA VILLA NA MAJERUHI WAONGEZEKA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Saturday, August 17, 2013

        WENGER AANZA VIBAYA LIGI KUU ENGLAND, AFUMULIWA 3-1 NA VILLA NA MAJERUHI WAONGEZEKA

        IMEWEKWA AGOSTI 17, 2013 SAA 3:21 USIKU
        KOCHA Arsene Wenger ameanza vibaya Ligi Kuu ya England baada ya kuchapwa mabao 3-1 na Aston Villa Uwanja wa Emirates leo.
        Kocha huyo Mfaransa amesaini mchezaji mmoja tu ambaye pia ni majeruhi baada ya kutemwa wachezaji 17.
        Wachezaji wawili wa Arsenal, Keiron Gibbs na Alex Oxlade-Chamberlain walilazimika kutoka nje kipindi cha kwanza baada ya kuumia na Christian Benteke alikuwa kinara wa ushindi wa Villa.
        Benteke alifunga mabao mawili katika dakika za 21na 60 wakati bao lingine lilifungwa na Luna dakika ya 84, wakati Arsenal ilitangulia kupata bao dakika ya tano kupitia kwa Olivier Girous.
        Kikosi cha Arsenal kilikuwa: Szczesny, Sagna/Podolski dk90, Koscielny, Mertesacker, Gibbs/Jenkinson dk5, Wilshere, Ramsey, Rosicky, Walcott, Chamberlain/Cazorla dk5 na Giroud
        Villa: Guzan, Lowton, Vlaar, Baker/Clark dk7, Luna, El Hamadi, Westwood, Delph, Agbonlahor, Weimann/Bacuna dk88 na Benteke,
        VIDEO Kaangalia chini Paul Lambert: Agbonlahor na Benteke
        Neat finish: Arsenal's Olivier Giroud, left, opens the scoring
        Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud akifunga bao la kuongoza
        Arsenal v Aston Villa possession stats - taken from MailOnline's new Match Zone
        Takwimu za mechi ya Arsenal na Aston Villa
        Sharp shooter: Giroud celebrates his goal
        Giroud akishangilia
        Saved: Arsenal's Wojciech Szczesny keeps out Benteke's penalty...
        Ameokoa: Kipa wa Arsenal, Wojciech Szczesny akipangua mkwaju wa penalti wa Benteke...
        benteke
        ...lakini Benteke akafunga baada ya kuuwahi mpira uliorudi

        Bloodied: Arsenal's Kieran Gibbs lies on the floor with a cut head after a clash of heads with Villa's Andreas Weimann
        Damu: Mchezaji wa Arsenal, Kieran Gibbs akiigulia maumivu chini baada ya kugongana na Andreas Weimann wa Villa
        Gibbs is escorted off the pitch with a head injury
        Gibbs akitolewa baada ya kuumia kichwa
        Heads up: Villa's Ron Vlaar, second right, clears the ball
        Mchezaji wa Villa, Ron Vlaar, wa pili kulia akiokoa
        Committed: Arsenal's Tomas Rosicky, below, tackles Villa's Karim El Ahmadi
        Mchezaji wa Arsenal, Tomas Rosicky, chini akipambana na Karim El Ahmadi wa Villa
        Controversy: Santi Cazorla, Per Mertesacker and Wojciech Szczesny cannot believe that referee Anthony Taylor has awarded a second penalty
        Utata: Santi Cazorla, Per Mertesacker na Wojciech Szczesny wakiwa hawaamini refa Anthony Taylor amewapa Villa penalti ya pili
        Splash the cash: An Arsenal fan sends a clear message to Wenger
        Shabiki wa Arsenal akipeleka wa wazi kwa Wenger kumtaka asajili
        Arsenal manager Arsene Wenger looks dejected on the touchline
        Mwanzo mbaya: Wenger akisikitika baada ya kipigo

        Katika mchezo mwingine, bao pekee la Daniel Sturridge dakika ya 37, lilitosha kuipa Liverpool ushindi wa 1-0 nyumbani dhidi ya Stoke City.
        Kikosi cha Liverpool kilikuwa: Mignolet, Johnson, Toure, Agger, Enrique, Lucas, Henderson, Gerrard, Coutinho, Sturridge, Aspas/Sterling dk71.
        Stoke: Begovic, Cameron, Huth, Shawcross, Pieters, N'Zonzi, Whelan/Adam dk62, Wilson, Etherington/Pennant dk62, Walters na Crouch/Jones dk81.
        New Suarez? Sturridge celebrates the opening goal after his fierce drive
        Suarez mpya? Sturridge akifunga 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: WENGER AANZA VIBAYA LIGI KUU ENGLAND, AFUMULIWA 3-1 NA VILLA NA MAJERUHI WAONGEZEKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry