// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WACHEZAJI WOTE AZAM FC WAPIMWA AFYA LEO, MAMBO YA ULAYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WACHEZAJI WOTE AZAM FC WAPIMWA AFYA LEO, MAMBO YA ULAYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
    Tuesday, August 20, 2013

    WACHEZAJI WOTE AZAM FC WAPIMWA AFYA LEO, MAMBO YA ULAYA

    IMEWEKWA AGOSTI 20, 2013 SAA 5:43 ASUBUHI
    Kiungo wa Azam FC, Jabir Aziz Stima akifanyiwa vipimo vya afya katika zahanati ya Uwanja wa Dar es Salaam asubuhi ya leo, kabla ya kuanza rasmi kwa msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mwishoni mwa wiki. 

    Wachezaji wa Azam wakisubiri kupimwa

    Mshambuliaji Seif Abdallah Karihe akiandikiwa majibu ya vipimo vyake

    Kiungo Ibrahim Mwaipopo akisubiri kupimwa

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: WACHEZAJI WOTE AZAM FC WAPIMWA AFYA LEO, MAMBO YA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry