![]() |
Betram Mombeki aliwekewa ulinzi mkali leo |
![]() |
Nahodha wa Simba SC, Nassor Masoud 'Chollo' akikabiliana na beki wa Rhino, huku kipa akijiandaa kuokoa |
![]() |
Kipa wa Rhino akidaka mbele ya Sino Augustino wa Simba SC |
![]() |
Mshambuliaji wa Rhino akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Simba SC |
![]() |
Haroun Chanono akipasua katikati ya wachezaji wa Rhino |
![]() |
Nurdin Bakari wa Rhino akikabiliana na Haroun Chanono |
![]() |
Betram Mombeki akipambana katika kona |
![]() |
Yule anaugulia maumivu, wengine wanagaagaa chini. Hivi ndivyo ilivyokuwa Mwinyi leo |
![]() |
Haroun Chanono anawatoka wachezaji wa Rhino |
![]() |
Refa anampa kadi ya njano Mombeki |
![]() |
Abbel Dhaira kama hahusiki vile...Ni baada ya Rhino kufunga bao la kwanza. Nurdin Bakari anaokota mpira nyavuni wakasake mabao zaidi |
![]() |
Kitu nyavuni, kipa wa Rhino akiruka bila mafanikio baada ya mkwaju wa penalti wa Jonas Mkude |
![]() |
Shangwe za bao, Jonas Mkude akishangilia bao lake la pili leo |
![]() |
Wachezaji wa Rhino wakishangilia bao la kusawazisha |
![]() |
Miraj Adam akipambana na mshambuliaji wa Rhino |
![]() |
Said Ndemla akifungishwa tela na mchezaji wa Rhino |
![]() |
Benchi la Simba SC baada ya Rhino kuchomoa |
![]() |
Makocha...King Kibaden na Jamhuri Kihwelo 'Julio' |
![]() |
Mashabiki wa Rhino wakiitia moto jezi ya Simba SC |
![]() |
Hadi huruma; Shabiki wa Simba aliyetoka Dar es Salaam kuja kuisapoti timu yake akiwa hoi baada ya sare |
![]() |
Vijana wa kazi; Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wamiliki wa Rhino akiwa juu ya gari lao wakitazama mpira |
![]() |
Hawa ndiyo Rhino, timu nzuri na wachezaji wazuri |
![]() |
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC ya leo |