![]() |
Refa akishuhudia Cheka na Williams |
![]() |
Cheka na Williams |
![]() |
Kitu kimefika, Cheka anaadhibu mtu |
![]() |
Cheka kulia |
![]() |
Hiyo kaiona; Williams akiinama kuipisha ngumi ya Cheka |
![]() |
Hiyo je? |
![]() |
Na hiyo? |
![]() |
Konde la Thomas Mashali likiwa limetua kidevuni mwa Mada Maugo katika pambano la Raundi 10. Mashali alishinda kwa pointi |
![]() |
Inaitwa 'left hook' ya Mashali ikiwa imefika shavu la Maugo |
![]() |
Lakini Maugo alifanikiwa kumchana Mashali |
![]() |
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara akiwa na mabondia Cheka na Williams kabla ya pambano lao |
![]() |
Cheka alifanya vizuri jana |
![]() |
Hili kofi; Cheka akimtandika Williams |
![]() |
Mfalme; Cheka akiwa amebebwa juu juu baada ya pambano |
![]() |
Wazee wa Azam; Kulia Nassor Idrisa 'Father' na kushoto Abubakar Mapwisa 'BIN ZUBEIRY' |
![]() |
Bosi na wapambe; Mmiliki wa kampuni ya Global Publisher Limited, Eric Shigongo akiwa na vijana wake jana |
![]() |
Bingwa wa zamani wa dunia, Francois Botha wa Afrika Kusini kushoto akiwa na BIN ZUBEIRY jana |
![]() |
King Class kulia akimtupia kitu Simba Watunduru |
![]() |
Makaburu walipokutana; Makamu Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu' kulia na Botha |
![]() |
Mashali na Maugo |
![]() |
Mashali alikalishwa chini na Maugo jana |
![]() |
Jamal Malinzi na Botha |
![]() |
Mchumia Tumbo akiwa amemkalisha chini Chupindi |
![]() |
Francis Miyeyusho kushoto |