// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC ILIVYOSAMBARATISHA 'JESHI LA TABORA' LEO, LILIKUWA BONGE LA MECHI NDANI YA MWINYI COMPLEX - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC ILIVYOSAMBARATISHA 'JESHI LA TABORA' LEO, LILIKUWA BONGE LA MECHI NDANI YA MWINYI COMPLEX - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Wednesday, August 28, 2013

        AZAM FC ILIVYOSAMBARATISHA 'JESHI LA TABORA' LEO, LILIKUWA BONGE LA MECHI NDANI YA MWINYI COMPLEX

        IMEWEKWA AGOSTI 28, 2013 SAA 3:48 USIKU
        Mshambuliaji wa Azam FC, akimtoka beki wa Rhino Rangers, katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mjini Tabora. Azam FC ilishinda 2-0.

        Gaudence Mwaikimba alikuwa mwiba leo

        Azam FC wakishangilia bao la kwanza lililofungwa na Gaudence Mwaikimba

        Jabir Aziz wa Azam akigombea mpira wa juu na mchezaji wa Rhino

        Kipa wa Rhino, Abdulkarim Mtumwa akimkabili mshambuliaji wa Azam, Kipre Tchetche 

        Nurdin Bakari wa Rhino akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Azam

        Khamis Mcha 'Vialli' wa Azam FC akimgeuza beki wa Rhino

        Beki wa Azam FC, Erasto Nyoni akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Rhino

        Erasto Nyoni leo alicheza vizuri 

        Gaudence Mwaikimba aling'ara leo

        Jabir Aziz nyuma ya mchezaji wa Rhino

        Beki wa Rhino 'akiosha' mbele ya Kipre Tchetche


        Mashabiki wa Azam waliosafiri kutoka Dar es Salaam kuja kuisapoti timu leo Tabora 

        11 wa Azam walioanza leo

        Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Uyui, Rashid Mussa Ntimizi akisalimiana na Gaudence Mwaikimba

        Benchi la Ufundi la Azam, kutoka kushoto ni kocha Mkuu, Stewart Hall na wasaidizi wake, Kali Ongala, Ibrahim Shikanda na Iddi Abubakar

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOSAMBARATISHA 'JESHI LA TABORA' LEO, LILIKUWA BONGE LA MECHI NDANI YA MWINYI COMPLEX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry