// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ARSENAL INOGILE 'BABU WEEE', YAWAKUNG'UTA WATURUKI 3-0 KWAO NA KUENDELEZA REKODI LA HATARI ULAYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ARSENAL INOGILE 'BABU WEEE', YAWAKUNG'UTA WATURUKI 3-0 KWAO NA KUENDELEZA REKODI LA HATARI ULAYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Thursday, August 22, 2013

        ARSENAL INOGILE 'BABU WEEE', YAWAKUNG'UTA WATURUKI 3-0 KWAO NA KUENDELEZA REKODI LA HATARI ULAYA

        ASILIMIA 100 GUNNERS: Rekodi ya Arsenal mechi za kufuzu Ligi ya Mabingwa

        Imecheza mechi 11, imeshinda 11, imefunga mabao 27, imefungwa 3
        2006-07 - Dinamo Zagreb (ugenini) 3-0, Dinamo Zagreb (nyumbani) 2-1
        2007-08 - Sparta Prague (ugenini) 2-0, Sparta Prague (nyumbani) 3-0
        2008-09 - Twente (ugenini) 2-0, Twente (nyumbani) 4-0
        2009-10 - Celtic (ugenini) 2-0, Celtic (nyumbani) 3-1
        2011-12 - Udinese (nyumbani) 1-0, Udinese 2-1 (ugenini)
        IMEWEKWA AGOSTI 22, 2013 SAA 8:17 USIKU
        KLABU ya Arsenal imepunguza 'pasua kichwa' kwa mashabiki wake baada ya kuondoka Uturuki na ushindi mnono wa mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza kuwania tiketi ya kucheza Ligi ya Mabinghwa Ulaya.
        Shukrani kwao, wafungaji wa mabao hayo Kieran Gibbs dakika ya 51, Aaron Ramsey dakika ya 64 na Olivier Giroud aliyefunga kwa penalti dakika ya 77 na kumpa tabasamu pana kocha anayepigiwea kelele kwa ubakhili wa kutosajili, Mfaransa Arsene Wenger.
        Laurent Koscielny alilazimika kutoka nje kipindi cha kwanza baada ya kupasuka karibu na jicho lake baada ya kupigwa buti na Pierre Webo.
        Kikois cha Arsenal kilikuwa: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny/Jenkinson dk33, Gibbs, Rosicky, Wilshere, Ramsey, Cazorla, Giroud na Walcott/Monreal. dk87.
        Fenerbahce: Demirel, Irtegun/Gonul dk46, Yobo, Bruno Alves, Kadlec, Topal, Meireles/Potuk dk82, Emre, Sow, Webo/Emenike dk62 na Kuyt.Releasing the pressure: (left-right) Carl Jenkinson, Kieran Gibbs, Theo Walcott, Aaron Ramsey and Olivier Giroud celebrate the opener
        Imepunguza presha: (kutoka kushoto) Carl Jenkinson, Kieran Gibbs, Theo Walcott, Aaron Ramsey na Olivier Giroud wakishangilia bao la kwanza
        Letting fly: Ramsey unleashes from distance to double Arsenal's advantage
        Ramsey akiifungia Arsenal bao la pili
        No mistake: Olivier Giroud slammed home his penalty after Theo Walcott was fouled by Michal Kadlec in the box
        Olivier Giroud akiifungia Arsenal bao la tatu kwa penalti baada ya Theo Walcott kuchezewa rafu na Michal Kadlec kwenye boksi
        Three and easy: Per Mertesacker, (second left) Jenkinson (third left) and Walcott (third right) rush to goalscorer Giroud (centre)
        Per Mertesacker, (wa pili kushoto) Jenkinson (wa tatu kushoto) na Walcott (wa tatu kulia) wakimkimbilia mfungaji Giroud (katikati)
        Up in arms: Arsene Wenger appeals after Laurent Koscielny (floored) was kicked in the face by Pierre Webo. The Fenerbahce striker was latterly booked
        Arsene Wenger akilalamika baada ya Laurent Koscielny (anayegaagaa chini) kupigwa teke usoni na Pierre Webo. Mshambuliaji huyo wa Fenerbahce alipewa kadi ya njano
        High foot: Koscielny catches Webo's boot in the face
        Koscielny akipigwa buti usoni na Webo
        Injury concern: Koscielny was replaced by Carl Jenkinson as Arsenal were hit by another blow
        Koscielny alitolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Carl Jenkinson na Arsenal ilipata pigo lingine
        Anxious moments: Jack Wilshere went down in the first-half after an innocuous-looking clash, but the midfielder ran off the injury
        Jack Wilshere akiwa chini kipindi cha kwanza baada ya kuumizwa


        On the ball: Wilshere was back to his bustling best at the heart of Arsenal's midfield
        Wilshere alirejea uwanjani na kuendelea kutawala sehemu ya kiungo ya Arsenal
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: ARSENAL INOGILE 'BABU WEEE', YAWAKUNG'UTA WATURUKI 3-0 KWAO NA KUENDELEZA REKODI LA HATARI ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry