![]() |
Umetukomboa; Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Tegete |
![]() |
Mfungaji wa bao la kwanza la Yanga SC, Didier Kavumbangu kulia akipongezana na wenzake |
![]() |
Messi wa Jangwani; Abdallah Mnguli wa Yanga akiwatoka mabeki wa URA |
![]() |
Jerry Tegete akiwatoka mabeki wa URA |
![]() |
Mnisamahe; Jerry Tegete akionyesha ishara ya kuomba msamaha mashabiki ambao wamekuwa wakimzomea anapokosa mabao, baada ya kufunga bao muhimu leo |
![]() |
Said Bahanuzi alicheza winga ya kulia na alipiga krosi nzuri kadhaa |
![]() |
Said Bahanuzi pia alikuwa mwiba leo |
![]() |
Mpira uende, wewe ubaki; Beki Juma Abdul akimdhibiti Derick Walullya wa URA |
![]() |
Didier Kavumbangu akimkimbiza Derrick Walullya |
![]() |
Kavumbangu akimruka kipa wa URA, Yassin Mugabi aliyefanikiwa kuokoa mpira miguuni mwa mshambuliaji huyo wa Yanga SC |
![]() |
Kocha Mholanzi wa Yanga SC, Ernie Brandts kulia, akiwa na Wasaidizi wake Freddy Felix Minziro, Razack Ssiwa na Daktari Nassor Matuzya |
![]() |
Walipofufuka; Mashabiki wa Yanga kwa muda mrefu walikuwa wamemwagiwa maji, kabla ya kuzinduka dakika za lala salama kwa mabao ya Kavumbangu na Tegete |
![]() |
Huyu hatari; Lutambi Yayo akishangilia bao la pili aliloifungia URA leo. Mchezaji huyo alifunga mabao yote dhidi ya SImba SC jana na leo pia kafunga yote. |
![]() |
Kikosi cha URA leo |
![]() |
Kikosi cha Yanga SC leo |
![]() |
Shabiki wa Yanga SC, wakati timu yake ipo nyuma kwa mabao 2-0 |