// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SUAREZ ATOKEA BENCHI NA KUTOA PASI YA BAO LIVERPOOL IKIUA 2-0, APATA MAPOKEZI YA KIFALME - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SUAREZ ATOKEA BENCHI NA KUTOA PASI YA BAO LIVERPOOL IKIUA 2-0, APATA MAPOKEZI YA KIFALME - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Wednesday, July 24, 2013

        SUAREZ ATOKEA BENCHI NA KUTOA PASI YA BAO LIVERPOOL IKIUA 2-0, APATA MAPOKEZI YA KIFALME

        IMEWEKWA JULAI 24, 2013 SAA 3:40 USIKU
        KOCHA Brendan Rodgers anaamini mapokezi mazuri aliyoyapata Luis Suarez akirejea kazini leo yanaweza kumfanya abaki Liverpool.
        Mshambuliaji huyo wa Uruguay, ambaye anatakiwa sana na Arsenal, alipata mapokezi mazuri mbele ya umati wa watu 95,446 wakati alipoingia uwanjani akitokea benchi dakika ya 72 na kuiwezesha Liverpool kushinda 2-0 dhidi ya Melbourne Victory Uwanja wa MCG. 
        Alone: Suarez walks down the tunnel after Liverpool's 2-0 win over Melbourne
        Peke yake: Suarez akitembea chini ya jukwaa leo baada ya Liverpool kuilaza 2-0 Melbourne
        Back in the fold: Suarez made his first appearance in a Liverpool shirt since April 21
        Amerudi kazini: Suarez amecheza mechi ya kwanza leo Liverpool tangu Aprili 21
        Benched: Suarez started the game as a sub, but came on with 70 minutes gone
        Mkeka: Suarez alianzia benchi kabla ya kuingia dakika ya 70 
        Suarez alitengeneza bao la pili la Liverpool akimpelekea krosi Iago Aspas. Steven Gerrard alifunga bao la kwanza akifanya kazi na kumalizia yeye mwenyewe.
        Arsenal imeipa Liverpool jana ofa ya Pauni 40,000,001 kujaribu kumsajili Suarez, lakini Rodgers ameendeela kusistiza juu ya kutotaka kumuuza mchezaji huyo. 
        Suarez
        Suarez akionyesha ufundi
        Into his stride: Suarez was slow to start, but impressed in the last five minutes of the game
        Suarez alianza pole pole mchezo wa leo, lakini akachanganya dakika tano za mwisho
        Popular: Suarez is still loved by Liverpool fans, and was given a huge reception after the game
        Suarez bado anapendwa na mashabiki wa Liverpool
        Still hanging around: Suarez signs an autograph after the match at the Melbourne Cricket Ground
        Suarez akisaini autograph katika Uwanja wa Kriketi wa Melbourne 
        All smiles: Suarez stayed behind to greet the Liverpool fans Down Under
        Dole: Suarez akiwapa salamu ya aina yake mashabiki wa LiverpoolSuarez
        Anamtoka mtu
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: SUAREZ ATOKEA BENCHI NA KUTOA PASI YA BAO LIVERPOOL IKIUA 2-0, APATA MAPOKEZI YA KIFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry