![]() |
Acha jezi wewe; Haruna Chanongo akimtoka David Luhende anayevuta jezi
|
![]() |
Chuji akituliza mpira pembeni ya John Bocco
|
![]() |
Yuko sawa; Juma Kaseja akidaka
|
![]() |
Erasto Nyoni akimtoka Mudathir Yahya
|
![]() |
Ally Mustafa 'Barthez' akidaka mpira aliopigiwa na kocha wa makipa, Juma Pondamali kulia, huku Juma Kaseja nyuma yake akimuangalia. Mwingine ni Mwadini Ally. Makipa wote wako fiti.
|
![]() |
Aggrey Morris akimiliki mpira
|
![]() |
Juma Luizio akikokota mpira pembeni ya Chuji
|
![]() |
Kesho watatukoma; Mrisho Ngassa akikumbatiana na Kevin Yondan
|
![]() |
Mwadini Ally akipangua mpira wa juu mbele ya Juma Kaseja
|
![]() |
Upepo zaidi; Wachezaji wa Stars wakikimbia kuzunguka Uwanja wa Mandela
|