// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ROONEY ATUA 'USO WA MBUZI' KUKUTANA NA MOYES AKIWA NA RANGE KAMA WANAZOTUMIA BAKHRESA, MANJI NA HANS POPPE DAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ROONEY ATUA 'USO WA MBUZI' KUKUTANA NA MOYES AKIWA NA RANGE KAMA WANAZOTUMIA BAKHRESA, MANJI NA HANS POPPE DAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, July 03, 2013

    ROONEY ATUA 'USO WA MBUZI' KUKUTANA NA MOYES AKIWA NA RANGE KAMA WANAZOTUMIA BAKHRESA, MANJI NA HANS POPPE DAR

    IMEWEKWA JULAI 3, 2013 SAA 9:24 ALASIRI
    MSHAMBULIAJI Wayne Rooney amewasili kukutana na kocha mpya wa Manchester United, David Moyes juu ya mustakabali wake katika klabu hiyo asubuhi ya leo.
    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 hakuonekana aliye vizuri wakati anaendesha gari lake aina ya Range Rover Rover ambalo kwa Tanzania wanatumia matajiri kama Yussuf Bakhresa wa Azam, Yussuf Manji wa Yanga na Zacharia Hans Poppe wa Simba, katika eneo la Uwanja wa mazoezi vya United majira ya saa 3.30 asubuhi, sawa na tano kwa Dar es Salaam.
    Amekutana na kocha Moyes kujadili mustakabali wake baada ya kupoteza mawasiliano na Sir Alex Ferguson msimu uliopita. Rooney aliondoka Carrington saa 6.45 mchana, sawa na saa nane kwa Tanzania.
    Back: Wayne Rooney arrived at Manchester United's Carrington base in his Range Rover this morning
    uso wa mbuzi: Wayne Rooney akiwasili Uwanja wa mazoezi wa Manchester United, Carrington na Range Rover lake la rangi ya fedha
    Meeting: The 27-year-old is set for crunch talks with David Moyes about his future today
    Mkutanoni: Anakwenda kukutana na David Moyes 
    In style: Rooney drove into Carrington at around 9.30am in his silver Range Rover
    Kwa mitindo: Rooney akiendesha gari maeneo ya Carrington
    Early start: Moyes drove into Carrington at around 7.30am on Wednesday morning
    Kocha naye: Moyes naye aliwasili Carrington mapema tu saa 1.30 asubuhi leo
    Early start: Moyes drove into Carrington at around 7.30am on Wednesday morning
    Good to be back: Rio Ferdinand arrived at Carrington on Wednesday for the first day of pre-season training
    Huyu anafurahi kurejea kazini: Rio Ferdinand akiwasili Carrington leo mwenye furaha tayari kuanza maandalizi ya msimu mpya
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: ROONEY ATUA 'USO WA MBUZI' KUKUTANA NA MOYES AKIWA NA RANGE KAMA WANAZOTUMIA BAKHRESA, MANJI NA HANS POPPE DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top