// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); REAL MADRID YAUA 6-0 ENGLAND, RONALDO APIGA MBILI PEKE YAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE REAL MADRID YAUA 6-0 ENGLAND, RONALDO APIGA MBILI PEKE YAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Monday, July 22, 2013

        REAL MADRID YAUA 6-0 ENGLAND, RONALDO APIGA MBILI PEKE YAKE

        IMEWEKWA JULAI 22, 2013 SAA 8:07 USIKU
        MSHAMBULIAJI Cristiano Ronaldo ameendeleza furaha, baada ya kufunga mabao mawili wakati Real Madrid ikiifumua mabao 6-0 Bournemouth na kumfanya kocha
        Carlo Ancelotti awe na mwanzo mzuri kazini katika klabu hiyo ya matajiri.
        Ronaldo alifunga dakika ya 22 na 40, wakati mabao mengine ya Real katika mchezo huo wa kujiandaa na msimu yalifungwa na Khedira dakika ya 43, Higuain dakika ya 46, Di Maria dakika ya 69 na Casemiro 82.
        Kikosi cha Real Madrid kilikuwa: Lopez/Fernandez dk45, Carvajal/Casado dk68, Nacho/Quini dk68, Pepe/Mateos dk45, Coentrao/Cheryshev dk45, Modric/Casemiro dk45, Khedira/Illarramendi dk45, Ronaldo/Di Maria dk45, Isco/Kaka dk45, Ozil/Morata dk45 na Benzema/Higuain.
        Bournemouth: Flahavan/Jalal dk84, Francis/Purches dk84, Cook/Hughes dk61, Elphick/Addison dk73, Daniels/Stockley dk84, Coulibaly/Harte dk66, Arter/Thomas dk84, MacDonald/Wakefield dk84, Fraser/Matthews dk73, Pitman/Ward dk27 na Grabban/Chiedozie dk66.Main man: Real Madrid's Cristiano Ronaldo celebrates after putting his side ahead away to Bournemouth
        Mtu wa mbele: Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Real dhidi ya Bournemouth
        Making it two: Ronaldo gives Bournemouth's goelkeeper Darryl Flahavan no chance as he doubles Real's lead
        Ronaldo akimtungua kipa wa Bournemouth, Darryl Flahavan
        Time to celebrate: Real's victory was unsurprisingly dominant
        Real wakishangilia ushindi wao
        Return to England: Carlo Ancelotti appeared characteristically relaxed
        Amerejea England: Carlo Ancelotti akifurahia mchezo
        Zizou: Assistant coach Zinedine Zidane is a recent addition to Real's new coaching team
        Zizou: Kocha Msaidizi wa Real, Zinedine Zidane
        Clinical: Gonzalo Higuain scored straight after half-time
        Gonzalo Higuain akifunga
        Close control: Real's Isco keeps the ball from Shaun MacDonald
        Isco akiambaa na mpira dhidi ya Shaun MacDonald
        Classy: Former Spurs midfielder Luka Modric was again in action
        Kiungo wa zamani wa Spurs, Luka Modric aling'ara
        Sliding in: Tommy Elphick goes in hard on Ronaldo
        Tommy Elphick akijaribu kumdhibiti Ronaldo
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: REAL MADRID YAUA 6-0 ENGLAND, RONALDO APIGA MBILI PEKE YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry