// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAN CITY YAENDELEA KUTAKATA, PELLEGRINI ATWAA TAJI LA KWANZA BAADA YA KUWAFUMUA SUNDERLAND 1-0 HONG KONG - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAN CITY YAENDELEA KUTAKATA, PELLEGRINI ATWAA TAJI LA KWANZA BAADA YA KUWAFUMUA SUNDERLAND 1-0 HONG KONG - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Saturday, July 27, 2013

        MAN CITY YAENDELEA KUTAKATA, PELLEGRINI ATWAA TAJI LA KWANZA BAADA YA KUWAFUMUA SUNDERLAND 1-0 HONG KONG

        IMEWEKWA JULAI 27, 2013 SAA 2:04 USIKU
        BAO pekee la Edin Dzeko limeipa ushindi Manchester City dhidi ya Sundeland katika michuano ya Barclays Asia Trophy leo, huo ukiwa ushindi wa pili kwa kocha Manuel Pellegrini Hong Kong baada ya kufungwa mechi zote mbili Afrika Kusini.
        Kikosi cha Pellegrini kimefanikiwa kumaliza juu ya wapinzani wao wa England, Sunderland na Tottenham na kutwaa Kombe la michuano hiyo ya timu za Ligi Kuu.
        Kikosi cha Manchester City kilikuwa: Pantilimon; Zabaleta, Kompany, Nastasic/Lescott dk75, Clichy/Kolarov dk62, Milner/Navas dk46, Toure/Fernandinho dk62, Garcia, Silva/Nasri dk46, Dzeko na Negredo/Barry dk79.
        Sunderland: Mannone; Gardner, O’Shea, Brown, Colback; Johnson/Karlsson dk61, Larsson, Cabral/Ba dk46, Giaccherini/McClean dk76, Altidore/Wickham dk46 na Sessegnon/Mandron dk88.
        Up for the cup: Vincent Kompany lifted the Barclays Asia trophy, but will hope he's holding more come May
        Juu kuchukua Kombe: Vincent Kompany akiinua Kombe la Barclays Asia 
        Edin for a starting place: Manchester City's Edin Dzeko scored the winner against Sunderland in style
        Edin kikosi cha kwanza: Edin Dzeko wa Man City alifunga bao pekee la ushindi
        Struggles: The torrential rain made life difficult for the players and more importantly the goalkeeper
        Mechi yao leo ilichezwa kwenye mvua na makipa walikuwa wana kibarua kizito cha kudaka, kwani mipira ilikuwa inateleza mikononi
        Struggles: The torrential rain made life difficult for the players and more importantly the goalkeeper
        Struggles: The torrential rain made life difficult for the players and more importantly the goalkeeper
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: MAN CITY YAENDELEA KUTAKATA, PELLEGRINI ATWAA TAJI LA KWANZA BAADA YA KUWAFUMUA SUNDERLAND 1-0 HONG KONG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry