![]() |
Simon Msuva akimtoka Habib Kavuma |
![]() |
Mrisho Ngassa (kulia) na Athumani Iddi 'Chuji' wakigombea mpira na Nahodha wa Uganda, Hassan Waswa |
![]() |
Nicolas Wadada wa Uganda, akimdhibiti Mrisho Ngassa |
![]() |
Amri Kiemba akipambana na wachezaji wa Uganda |
![]() |
John Bocco akipiga kichwa katikati ya msitu wa wachezaji wa Uganda |
![]() |
Kevin Yondan akiondosha mpira hatarini kwa kichwa dhidi ya mchezaji wa Uganda |
![]() |
Ngassa na Wadada |
![]() |
Salum Abubakar 'Sure Boy' akipiga shuti katikati ya wachezaji wa Uganda |
![]() |
Chuji kulia na Said Kyevune wa Uganda kushoto |
![]() |
Chuji akiondosha mpira kwenye hatari dhidi ya Habib Kavuma |
![]() |
Frank Kalanda akimdhibiti Mrisho Ngassa |
![]() |
Frank Domayo alilazimika kumsaidia sana David Luhende leo kabla ya kuumia na kutoka |
![]() |
Mrisho Ngassa akiwania mpira dhidi ya wachezaji wawili wa Uganda |
![]() |
Amri Kiermba akitia krosi pembeni ya Wadada |
![]() |
Frank Domayo akimtoka Said Kyevune |
![]() |
Domayo na Kyevune |
![]() |
Sure Boy akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Uganda |
![]() |
Domayo akipiga shuti |
![]() |
Krosi ya Erasto Nyoni ikipitiliza, Ngassa hakuweza kunasa |
![]() |
Kizaazaa langoni mwa Uganda |
![]() |
Kocha wa Uganda, Milutin Sredojevic 'Micho' akimpongeza Brian Majwega kwa kazi nzuri |
![]() |
Chuji anaosha... |
![]() |
Kipa wa Uganda, Hassan Muwonge akidaka mpira dhidi ya Mrisho Ngassa kufuatia krosi ya Nyoni |
![]() |
Muwonge akidaka kiulaini...ufupi ni tatizo wakati mwingine |
![]() |
11 wa Uganda walioanza leo |
![]() |
11 wa Stars walioanza leo |
![]() |
Wajumbe wa Kamati ya Stars, Mh Zitto Zuberi Kabwe (kulia) na Jamal Rwambow wakati wimbo wa taifa wa Tanzania ukichezwa |
![]() |
Mfungaji wa mabao mawili ya Uganda leo, Frank Kalanda akimfunga tela David Luhende |
![]() |
Luhende akimdhibiti Majwega |
![]() |
Wasswa akimpa paja Ngassa...hii aliigundua Gianfranco Zola mwaka 2009 Mrisho alipokuwa West Ham kwa majaribio, akamuambia akaongeze lishe |