// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); GUARDIOLA AIONGOZA BAYERN KUIFUMUA BARCELONA 2-0, MESSI AFANYA UTUMBO, ATOLEWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE GUARDIOLA AIONGOZA BAYERN KUIFUMUA BARCELONA 2-0, MESSI AFANYA UTUMBO, ATOLEWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, July 24, 2013

    GUARDIOLA AIONGOZA BAYERN KUIFUMUA BARCELONA 2-0, MESSI AFANYA UTUMBO, ATOLEWA

    IMEWEKWA JULAI 24, 2013 SAA 4:18 USIKU
    KOCHA wa Bayern Munich, Pep Guardiola ameifunga timu yake ya zamani, Barcelona mabao 2-0 katika mchezo wa kirafiki mjini Munich leo.
    Philipp Lahm alifunga bao la kwanza dakika ya 14 na timu zikaenda kupumzika matokeo ya 1-0, kabla ya Bayern kupata bao la pili dakika ya 87 lililofungwa Mario Mandzukic.
    Kikosi cha Bayern Munich kilikuwa: Neuer/Starke dk46, Rafinha, Dante/Van Buyten dk59, Boateng, Alaba, Thiago, Lahm/Gustavo dk59, Kroos, Ribery, Robben/Shaqiri dk46 na Muller/Mandzukic dk46.
    Barcelona: Pinto/Oier dk46, Montoya/Kiko dk46, Bartra/Gomez dk46, Mascherano/Planas dk46, Adriano/Patric dk46, Song/Espinosa dk46, Sergi Roberto/Ilie dk46, Dos Santos/Quintilla dk46, Tello/Joan Roman dk46, Messi/Dongou dk46 na Alexis/Dani Nieto dk46.
    On target: Philip Lahm (centre) struck early on for Bayern Munich as the Germans took control
    Amefunga: Philip Lahm (katikati) alifunga bao la kwanza la Bayern Munich 
    Good going: Pep Guardiola's side looked strong and imposing against Barcelona
    Mwendo mzuri: Pep Guardiola ameifunga timu yake ya zamani, Barcelona
    Woe: It was a disappointing first half for Barcelona captain Messi and then he was substituted
    Kilio: Nahodha wa Barcelona, Messi alicheza ovyo kipindi cha kwanza akatolewa
    Double up: Mario Mandzukic scored the second from close range to seal the game
    La pili: Mario Mandzukic akifunga la pili
    Edging through: Thiago (left) and Boateng (right) challenge Messi for the ball
    Hakuna njia: Thiago (kushoto) na Boateng (kulia) wakimdhibiti Messi 
    Fight for the ball: Frank Ribery of Muenchen challenges Marc Bartra
    Frank Ribery akipambana na Marc Bartra
    Strolling: Guardiola seems to have it easy with Bayern, given their strong squad and winning ways
    Guardiola anaonekana kuwa na kikosi kizuri
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: GUARDIOLA AIONGOZA BAYERN KUIFUMUA BARCELONA 2-0, MESSI AFANYA UTUMBO, ATOLEWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top