// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ARSENAL YAWAPIGIA HESABU PABLO OSVALDO NA KIUNGO WA ATLETICO...YAITAKA PIA ROMA IONGEZE DAU LA KUMNUNUA GERVINHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ARSENAL YAWAPIGIA HESABU PABLO OSVALDO NA KIUNGO WA ATLETICO...YAITAKA PIA ROMA IONGEZE DAU LA KUMNUNUA GERVINHO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Thursday, July 25, 2013

        ARSENAL YAWAPIGIA HESABU PABLO OSVALDO NA KIUNGO WA ATLETICO...YAITAKA PIA ROMA IONGEZE DAU LA KUMNUNUA GERVINHO

        IMEWEKWA JULAI 25, 2013 SAA 3:00 ASUBUHI
        KLABU ya Arsenal imeiambia Roma iongeze dau lake ililotoa kwa ajili ya mshambuliaji Gervinho. Roma imetoa ofa ya Pauni Milioni 6.8 na Arsenal inataka Pauni Milioni 8.6.
        Mshambuliaji wa Roma, Pablo Osvaldo pia amekuwa katika mjadala. Fulham pia wanamtaka Osvaldo.
        Msaka vipaji wa Arsenal, Everton Gushiken alimuangalia kiungo wa Atletico Mineiro, Bernard dhidi ya Olimpia usiku wa jana katika Fainali ya Copa Libertadores.
        On his way: Roma want to bring Gervinho to Italy from Arsenal
        Yuko njiani: Roma inamtaka Gervinho ahamie Italia kutoka Arsenal
        Swap deal: Pablo Osvaldo (left) could be included in a potential Gervinho transfer
        Dili la kubadilishana: Pablo Osvaldo (kushoto) anaweza kuhusishwa kwenye dili la uhamisho wa Gervinho
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: ARSENAL YAWAPIGIA HESABU PABLO OSVALDO NA KIUNGO WA ATLETICO...YAITAKA PIA ROMA IONGEZE DAU LA KUMNUNUA GERVINHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry