
Wednesday, July 31, 2013

IMEWEKWA JULAI 31, 2013 SAA 4:11 USIKU MANENO ya kocha Manuel Pellegrini kwamba ana safu kali ya ushambuliaji dunia nzima, yameanza kudh...
BALE AAMUA KAMA NOMA NA IWE NOMA, AMUAMBIA VILLA BOAS USO KWA PUA; "NAONDOKA ZANGU"
Wednesday, July 31, 2013
IMEWEKWA JULAI 31, 2013 SAA 3:11 USIKU NYOTA Gareth Bale amempasukia usoni Andre Villas-Boas na kumwambia kwamba anataka kuondoka Totten...
SIMBA SC YASAJILI STRIKER LA MAREKANI JIONI HII
Wednesday, July 31, 2013
IMEWEKWA JULAI 31, 2013 SAA 12:03 JIONI Mshambuliaji wa zamani wa Pamba FC ya Mwanza, Betram Mombeki (kulia) aliyekuwa Marekani kwa muda ...
KASEJA: SIJAMALIZANA NA LUPOPO
Wednesday, July 31, 2013
Na Mahmoud Zubeiry, IMEWEKWA JULAI 31, 2013 SAA 10:17 JIONI NAHODHA wa timu ya soka ya taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Juma Kasej...
MWINYI KAZIMOTO AIPA MKONO WA KWAHERI SOKA YA MADAFU, MAMBO YAMNYOOKEA ASIA
Wednesday, July 31, 2013
Na Dina Ismail, IMEWEKWA JULAI 31, 2013 SAA 9:09 ALASIRI KLABU ya Al Markhiya Sports Club ya Doha, Qatar imetuma barua kwa uongozi wa Simb...
MAN UNITED WAPELEKA OFA YA TATU BARCELONA, NI HAIJAWAHI KATIKA HISTORIA YA KLABU
Wednesday, July 31, 2013
IMEWEKWA JULAI 31, 2013 SAA 8:52 MCHANA KLABU ya Manchester United inajianda kuvunja rekodi yake ya usajili kwa kutuma ofa ya mwisho ya ...
BONDIA MTANZANIA KIMWERI ALIVYOMGARAGAZA MTHAILAND
Wednesday, July 31, 2013
Bondia Mtanzania Omari Kimweri anayefanya shughuli zake Australia kulia akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wake baada ya kumtwang...
YANGA SC WATIMULIWA LOYOLA, WAHAMIA KIJITO
Wednesday, July 31, 2013
Na Mahmoud Zubeiry, IMEWEKWA JULAI 31, 2013 SAA 1:35 ASUBUHI UONGOZI wa sekondari ya Loyola, Mabibo, Dar es Salaam umeizuia klabu ya Yang...
MAKOSA HAYA WAYAFANYIE STARS TU, KWENYE KLABU ZAO…
Wednesday, July 31, 2013
IMEWEKWA JULAI 31, 2013 SAA 1:08 ASUBUHI MPIRA wa miguu ni mchezo wa makosa, hilo ni neno maarufu katika familia ya kandanda, lakini si wo...
Tuesday, July 30, 2013
NEYMAR, MESSI WAANZA KAZI PAMOJA BARCA...PACHA JIPYA LA HATARI LA USHAMBULIAJI DUINA NZIMA
Tuesday, July 30, 2013
IMEWEKWA JULAI 30, 2013 SAA 5:08 USIKU MCHEZAJI mpya wa Barcelona, Neymar ameanza mazoezi na timu yake hiyo mpya baada ya kukamilisha v...
MAJIGAMBO YA PELLEGRINI ANA SAFU BORA YA USHAMBULIAJI DUNIA NZIMA...SASA LINGANISHA NA SAFU ZA TIMU NYINGINE TOP FOUR, HALAFU...
Tuesday, July 30, 2013
BAADA ya kumsajili Alvaro Negredo na Stevan Jovetic, kocha wa Manchester City, Manuel Pellegrini ameanza kujitamba kwamba safu yake ya ush...
Subscribe to:
Posts (Atom)