• HABARI MPYA

        Tuesday, June 18, 2013

        SUNDERLAND WAMKUBALIA RAIS KIKWETE KUJENGA BONGE LA AKADEMI LA KISASA DAR ES SALAAM

        IMEWEKWA JUNI 18, 2013 SAA 11:30 ALFAJIRI
        Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mwenyekiti na Mmiliki wa klabu ya Sunderland, Ellis Short na baadhi ya wanafunzi wanaosoma katika akademi ya Light, Sunderland jana mchana. Klabu hiyo kwa ushirikiano na Symbion Power Tanzania Limited imekubali kujenga akademi ya soka mjini Dar es Salaam kufuatia ombi la Rais Kikwete. Rais Kikwete yupo London kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. (Picha zote na Freddy Maro).
        Rais Kikwete akizungumza na watoto wanaohudhuria masomo katika shule hiyo. 
        Kikwete akizungumza na Mmiliki wa Sunderland, Ellis Short katika Uwanja wa klabu hiyo, Stadium of Light
        Rais Kikwete na watoto...Kitu kama hiki kinakuja Dar es Salaam
        Rais Kikwete na msafara wake wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi. Wengine pichani ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Symbion’s Power Limited, Paul Hinks (kushoto), Mbunge wa Ilala, Musa Zungu (wa pili kushoto), Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara (wa nne kushoto) na Waziri wa Ardhi, Profesa Anna Tibaijuka (kulia). 
        Rais Kikwete kulia 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: SUNDERLAND WAMKUBALIA RAIS KIKWETE KUJENGA BONGE LA AKADEMI LA KISASA DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry