![]() |
Cuipoi nna Gallas |
![]() |
Patashika ile hadi kivumbi mazoezi ya Simba SC Kinesi leo |
![]() |
Mshambuliaji mpya Zahor Pazi akipasua |
![]() |
Mazoezi ya nguvu, kushoto Nahodha mpya, Nassor Masoud 'Chollo' |
![]() |
Mazoezi ya minyumbuliko |
![]() |
Tiba; Daktari mpya wa Simba SC, Yassin Gembe akimchua misuli kiungo mshambuliaji, Haruna Chanongo |
![]() |
Kocha wa Simba SC, Abdallah Kibadeni kulia akiwa na kiungo Amri Kiemba |
![]() |
Wanazungumza |
![]() |
Simba TV; Zahor Pazi akiigiza mtangazaji wa TV kwa kumuhoji mchezaji mwenzake, Haruna Shamte kulia |
![]() |
Gari Kubwa; Nahodha wa zamani wa Simba SC, Willy Martine 'Gari Kubwa' (katikati) alikuwepo mazoezini leo Kinesi |
![]() |
Gwiji; Mchezaji na kiongozi wa zamani wa Simba SC, tangu enzi za Sunderland, Hamisi Kilomoni akizungumza na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu, Said Pamba kulia Kinesi leo |
![]() |
Bosi kubwa; Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe akiwasili mazoezini |
![]() |
Anamsalimia Mzee Kilomoni |
![]() |
Anasalimiana na Geoffrey Nyange 'Kaburu' kulia. Katikati ni Katibu, Evodius Mtawala. |
![]() |
Asije kuwa Jama Mba mwingine huyu!; Anaangalia mazoezi kwa makini kabisa |