
Sunday, June 30, 2013

IMEWEKWA JUNI 30, 2013 SAA 5:55 USIKU KIPA Gianluigi Buffon amekuwa shujaa wa Italia usiku huu baada ya kuokoa michomo mitatu ya penalti...
THIAGO SASA HUENDA AKAOTA MBAWA MAN UNITED, ASEMA; "NAIPENDA BARCELONA"
Sunday, June 30, 2013
IMEWEKWA JUNI 30, 2013 SAA 4:16 USIKU KLABU ya Barcelona ilifanya mazungumzo na mchezaji anayetakiwa na Manchester United, Thiago Alcant...
PELLE ATAMBULISHWA MAN CITY..HIYO MIKOGO YAKE MBONA MANCHESTER PATACHIMBIKA
Sunday, June 30, 2013
IMEWEKWA JUNI 30, 2013 SAA 4:00 USIKU KOCHA mpya wa Manchester City, Manuel Pellegrini amewasili England tayari kurithi rasmi mikoba ya ...
HANS POPPE: KASEJA ALITURINGIA SANA, NA AMECHUMA UTAJIRI WA KUTOSHA SIMBA SC
Sunday, June 30, 2013
Ukitaka kuua nyani?; Hans Poppe kulia, Kaseja kushoto. Na Mahmoud Zubeiry, IMEWEKWA JUNI 30, 2013 SAA 3:19 ASUBUHI MWENYEKITI wa Kama...
WACHEZAJI TAIFA STARS CHUPUCHUPU KUTAPELIWA KWA TAMAA YA KUCHEZA ULAYA
Sunday, June 30, 2013
Mngetapeliwa; Kutoka kulia, Athumani Iddi 'Chuji',Amri Kiemba na Nadir Haroub 'Cananvaro', wachezaji wa Taifa Stars wanao...
MASWAHIBA WA PELE, AZAM AKADEMI WAENDA KUTETEA TAJI ARUSHA WAKIWA KAMILI
Sunday, June 30, 2013
Maswahiba wa Pele; Azam Akademi wakiwa na Pele alipowatembelea Chamazi mwaka jana Na Prince Akbar, IMEWEKWA JUNI 30, 2013 SAA 2:25 ASU...
PELLEGRINI SASA ATAKA KUMSAJILI FRED WA BRAZIL NA CARDOZO WA BENFICA KUTENGENEZA PACHA JIPYA HATARI LA USHAMBULIAJI MAN CITY
Sunday, June 30, 2013
IMEWEKWA JUNI 30, 2013 SAA 1:00 ASUBUHI KOCHA wa Manchester City, Manuel Pellegrini amehamishia mawindo yake kwa washambuliaji Mbrazil, ...
KAMA HILO NDILO KOSA LA KASEJA, BASI RONALDO, ZIDANE WALIKOSEA KABLA YAKE, NA CHANONGO…
Sunday, June 30, 2013
IMEWEKWA JUNI 30, 2013 SAA 11:42 ASUBUHI HUWEZI kukwepa kuweka jina la Zamoyoni Mogella katika orodha ya wachezaji bora kuwahi kutokea Sim...
Saturday, June 29, 2013
NEYMAR: HATUIHOFII HISPANIA, INGAWA KWELI INAPEWA NAFASI YA KUTWAA KOMBE KESHO
Saturday, June 29, 2013
IMEWEKWA JUNI 29, 2013, SAA 3:17 USIKU NYOTA wa Brazil, Neymar anaamini Hispania inapewa nafasi kubwa ya kutwaa Kombe la Mabara katika F...
MKENYA WANYAMA NI KAMA TAYARI YUPO LIGI KUU ENGLAND, KLABU GANI? HILO NDILO SUALA
Saturday, June 29, 2013
IMEWEKWA JUNI 29, 2013 SAA 7:59 MCHANA KLABU ya Cardiff City imejitoa kwenye mbio za kuwania saini ya Victor Wanyama baada ya klabu yake...
TWANGA PEPETA KUZINDUA ALBAMU YAKE YA 12 LEADERS CLUB KESHO
Saturday, June 29, 2013
Wanamuziki wa Twanga Pepeta Na Majuto Omary, IMEWEKWA JUNI 29, 2013 SAA 7:44 MCHANA BENDI ya African Stars “Wana Twanga Pepeta” kesho...
ARSENAL YAPAMBANA KUMSAJILI 'BRAZIL ONE', YATAKA DILI LIKAMILIKE HARAKA KUWAPIKU WAPINZANI
Saturday, June 29, 2013
IMEWEKWA JUNI 29, 2013 SAA 1:35 ASUBUHI KLABU ya Arsenal itaangalia uwezekano wa kukamilisha usajili wa kipa namba wa Brazil na klabu ya...
ROONEY HABAKI MAN UNITED, MOYES SASA KAZI ANAYO...KIJANA MGUU NJIANI KUELEKEA DARAJANI
Saturday, June 29, 2013
IMEWEKWA JUNI 29, 2013 SAA 1:13 ASUBUHI KOCHA David Moyes atakabiliwa na mwanzo mgumu atakapoanza tu kazi Manchester United, baada ya ku...
Friday, June 28, 2013
CARRAGHER ASEMA SUAREZ KUONDOKA KLABU KUBWA KAMA LIVERPOOL HAIWEZEKANI, NA AKIBAKI AMEBAKI MILELE
Friday, June 28, 2013
IMEWEKWA JUNI 28, 2013 SAA 12: 58 JIONI BEKI wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher haamini kama mshambuliaji Luis Suarez ataondoka maj...
JANJA YA BARCELONA KUMLAINISHA THIAGO ASIENDE MAN UNITED, WAMUONGEZEA MKATABA MDOGO WAKE RAFINHA
Friday, June 28, 2013
IMEWEKWA JUNI 28, 2013 SAA 8:39 MCHANA KLABU ya Barcelona imekubali kusaini Mkataba mpya na Rafael 'Rafinha' Alcantara ili kuend...
NOTA WAWILI MAKINDA WA TANZANIA WAULA KITUO CHA VIPAJI ASPIRE
Friday, June 28, 2013
Katibu wa TFF, Angetile Osiah (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari leo. Kulia ni Abdulrasul Bitebo na kushoto ni Martine Omella ...
TFF KUENDESHA KOZI SITA ZA KITAALAMU
Friday, June 28, 2013
Leodegar Tenga, rais wa TFF Na Boniface Wambura, IMEWEKWA JUNI 28, 2013 SAA 7:55 MCHANA SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) litaendesha ...
MESSI ATEMBELEA AKADEMI YENYE KINDA MTANZANIA NA KUSEMA, MOURINHO ATATISHA CHELSEA
Friday, June 28, 2013
IMEWEKWA JUNI 28, 2013 SAA 6:41 MCHANA MWANASOKA bora wa dunia, Lionel Messi ametembelea akademi ya Aspire nchini Senegal ambako kuna m...
Subscribe to:
Posts (Atom)