Wachezaji wa Yanga na Kombe lao baada ya mechi |
Haruna Chanongo kushoto akimtoka David Luhende |
Chanongo akikokota mpira pembeni ya Luhende |
Luhende na Chollo |
Abadallah Seseme akijaribu kupasua katikati ya Athumani Iddi 'Chuji' na Frank Domayo |
Mbwembwe za Mrisho Ngassa leo |
Frank Domayo anakwenda na mpira |
Mwinyi Kazimoto akimtoka Kevin Yondan |
Haruna Chanongo akitafuta mbinu za kuwatoka Nadir Haroub 'Cannavaro' na Mbuyu Twite |
Mwinyi Kazimoto anakwenda |
Athumani Iddi 'Chuji' akimiliki mpira mbele ya Amri Kiemba |
Yanga na shangwe za ubingwa |
Chuji na Kiemba... |
11 walioanza Simba SC leo |
11 walioanza Yanga SC leo |
Wachezaji wa Simba SC waliingia moja kwa moja na kwenda kuzunguka kibendera kisha kurejea chumbani kwao |
Amepatia; Lakini matokeo tu, kwa mshindi amechemsha ilikuwa kinyume |
Swaga za mashabiki wa Yanga SC |
Ujumbe wa Ngassa |
Ngassa mwingine alikuwa jukwaani |
Yanga SC ina mashabiki hadi Wazungu |
Shabiki |
Rais wa TFF, Leodegar Tenga akimvalisha Medali Nahodha wa Yanga SC, Nadir Haroub 'Cannavaro' |
Swaga za mashabiki wa Yanga SC |
Kigogo wa Yanga SC, Seif Ahmad 'Magari' akiwa amebeba Kombe na kushoto na Simon Msuva |
Ameopoa; Mwenyekiti wa kamati ya Ushindi Yanga SC, Abdallah Bin Kleb akiwa na shabiki wa Yanga aliyeigiza kama Mlezi wa Simba SC, Mama Rahma Al Kharoos maarufu kama Malkia wa Nyuki |
Wakili Said El Maamry akisalimiana na Ngassa |
Refa Mrtin Saanya akiangalia saa yake mara baada ya kuinuka kutoka kutibiwa kabla ya kumaliza mpira |
Refa Saanya hoi chini |
Jopo la Madaktari likimuangalia refa Sanya baada ya kumtibu |
Alitamani aingine uwanjani kucheza; Nahodha wa zamani wa Simba SC, Suleiman Matola jukwaani |
Tenga akimvalisha Medali mtoto wa Haruna Niyonzima kwa niaba ya baba yake |
Mzee El Maamry akimvalisha Medali Frank Domayo |
Wauwaji; Tenga akimvalisha Medali, Hamisi Kiiza huku Didier Kavumbangu naye akijiandaa kuvalishwa |
Didier Kavumbangu akitafuta mbinu za kumtoka Shomary Kapombe |
Didier Kavumbangu kulia na Haruna Niyonzima kushoto wakimdhibiti Mrisho Ngassa |
Yanga na Kombe lao...raha iliyoje |