// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAN CITY YAPATA MKATABA MPYA MNONO WA JEZI KUTOKA NIKE NA KUIPIGA CHINI UMBRO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAN CITY YAPATA MKATABA MPYA MNONO WA JEZI KUTOKA NIKE NA KUIPIGA CHINI UMBRO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Wednesday, May 22, 2013

        MAN CITY YAPATA MKATABA MPYA MNONO WA JEZI KUTOKA NIKE NA KUIPIGA CHINI UMBRO


        IMEWEKWA MEI 22, 2013 SAA 8:00 MCHANA
        KLABU ya Manchester City imezindua rasmi udhamini wake mpya wa jezi wa Pauni Milioni 72 na kampuni ya vifaa vya michezo Marekani, Nike sambamba na kuzindua jezi zake za msimu ujao nyumbani mjini New York.
        City ilitangaza mwaka uliopita wataachana na Umbro, ambayo awali ilikuwa inamilikiwa na Nike, baada ya kukubali mkataba wa Pauni Milioni 12 kwa mwaka kwa miaka zaidi yasita.
        New look: Manchester City launched this kit in New York on Tuesday afternoon
        Muonekano mpya: Manchester City wamezindua jezi hizi mjini New York jana mchana
        Trim: The sky-blue jersey is complete with a navy and white lining
        Cha kubana: Jezi ya rangi ya mawingu
        Eye on the ball: James Milner shows off City's new strip in New York
        Jicho kwenye mpira: James Milner akionyesha jezi mpya za City mjini New York
        Eye on the ball: James Milner shows off City's new strip in New York
        Getting involved: Gael Clichy tries the sky-blue strip out for size
        Alikuwepo: Gael Clichy 
        Glimpse: Joe Hart
        Joe Hart
        Kipa namba moja wa England, Joe Hart akiwa na jezi mpya za makipa wa City 
        Samir Nasri
        James Milner
        Samir Nasri na Milner (kulia)
        Watch and learn, Gael: Milner shows his prowess as Clichy watches
        Milner akionyesha uwezo wake wa kuchezea mpira, huku Clichy akimtazama
        Role reversal: Clichy grabs the camera during the photoshoot
        Role reversal: Clichy grabs the camera during the photoshoot
        Clichy akiwa na kamera wakati wa kupiga picha za jezi mpya 
        Thumbs up: Kolo Toure and some other City players visited the New York Fire Department
        Kolo Toure na wachezaji wengine wa City walipotembelea Idara ya zimamoto ya New York
        Trying on the headgear: Maicon, Richard Wright, Emyr Huws, Dedryck Boyata, Micah Richards, Gareth Barry, Joleon Lescott, Albert Rusnak , Karim Rekik and Kolo Toure visit FDNY
        Maicon, Richard Wright, Emyr Huws, Dedryck Boyata, Micah Richards, Gareth Barry, Joleon Lescott, Albert Rusnak, Karim Rekik na Kolo Toure walipotembelea FDNY
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: MAN CITY YAPATA MKATABA MPYA MNONO WA JEZI KUTOKA NIKE NA KUIPIGA CHINI UMBRO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry