• HABARI MPYA

        Monday, May 20, 2013

        GARETH BALE KUSAINI MKATABA MPYA SPURS...ATAUZWA PAUNI MILIONI 50 MSIMU UJAO

        IMEWEKWA MEI 20, 2013 SAA 1:10 USIKU
        KIUNGO Gareth Bale anajiandaa kusaini mkataba mpya Tottenham, kuendelea kuitumikia klabu hiyo licha ya kukosa nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao.
        Dili hilo ambalo linaweza kupunguza kidogo maumivu ya timu hiyo ya London Kaskazini, Spurs baada ya kuzidiwa na wapinzani wao, Arsenal katika kuwania nafasi ya mwisho wa kucheza Ligi ya Mabingwa, litamuingizia nyota huyo wa Wales Pauni 130,000 kwa wiki, kwa mujibu wa gazeti la The Evening Standard.
        Lakini inaaminika mkataba huo, utamruhusu Bale kuondoka White Hart Lane msimu ujao kwenda klabu yoyote itakayotoa ofa ya Pauni Milioni 50 - hata ikiwa Tottenham itamaliza ndani ya nne bora.
        Celebrate: Gareth Bale, after scoring his latest screamer against Sunderland, has signed a new Tottenham deal
        Gareth Bale
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: GARETH BALE KUSAINI MKATABA MPYA SPURS...ATAUZWA PAUNI MILIONI 50 MSIMU UJAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry