// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BAADA YA ZAHMA LA JANA REAL, YABAINIKA MOURINHO ANAONDOKA NA RONALDO KWENDA CHELSEA...MAN U WALIE TU! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BAADA YA ZAHMA LA JANA REAL, YABAINIKA MOURINHO ANAONDOKA NA RONALDO KWENDA CHELSEA...MAN U WALIE TU! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, May 18, 2013

    BAADA YA ZAHMA LA JANA REAL, YABAINIKA MOURINHO ANAONDOKA NA RONALDO KWENDA CHELSEA...MAN U WALIE TU!


    MSHAMBULIAJI Cristiano Ronaldo amejikuta katikati ya mvuatno wa klabu mbili kuwania saini yake,Manchester United na Chelsea.
    Nyota huyo mwenye thamani ya Pauni Milioni 80 wa Real Madridd, ambaye alipewa kadi nyekundu jana katika fainali ya Copa del Rey waliyofungwa na Atletico, yumo kwenye orodha ya wachezaji wanaotakiwa na kocha mtarajiwa wa Chelsea, Jose Mourinho.
    'The Special One' pia alipandishwa jukwaani baada ya kubishana na refa jana katika mechi mbaya upande wao Uwanja wa Bernabeu jana.
    United watakuwa na nafasi ya kwanza ya kumsajili Ronaldo ikiwa Real wataamua kumuuza hivyo Mreno huyo ana nafasi kubwa ya kurejea Old Trafford. 
    Lakini Mourinho, ambaye amekuwa akifanya naye kazi kwa miaka mitatu iliyopita, amemuweka katika orodha wake ya nyota anaowahitaji mno.
    Wanted: Mourinho hopes to bring Ronaldo with him from Real Madrid to Chelsea this summer
    Anatakiwa: Mourinho anatumai kuondoka na Ronaldo kutoka Real Madrid kwenda Chelsea 
    Wayne Rooney, ambaye angependa kwenda Chelsea, na mshambuliaji wa Napoli, Edinson Cavani pia anatakiwa na Mourinho.
    Ronaldo amecheza misimu minne Real Madrid, lakini amejikuta anachanganyikiwa kutokana na kutoheshimika katika klabu hiyo.
    One of the best: Ronaldo scored his 55th goal of the season for Real Madrid last night
    One of the best: Ronaldo scored his 55th goal of the season for Real Madrid last night
    Mmoja wa bora: Ronaldo amefunga bao lake la 55 msimu huu Real Madrid usiku wa jana
    Chelsea haijazungumzia lolote juu ya hayo, lakini Roman Abramovich anajiandaa kutumia fedha nyingi kipindi hiki cha usajili.
    Kocha wa Muda wa Chelsea, Rafa Benitez amesema jana kwamba Abramovich atatoa Pauni Milioni 100 za usajili kwa kocha mpya.
    On the list: Manchester United's Wayne Rooney is also wanted by Mourinho
    On the list: Napoli's Edinson Cavani is also wanted by Mourinho
    Wamo kwenye orodha: Wayne Rooney wa Manchester United (kushoto) na Edinson Cavani wa Napoli (kulia) pia wanatakiwa na Mourinho
    Spending spree: Abramovich is set to give Mourinho £100m to spend this summer
    Fungu la usajili: Abramovich atampa Mourinho Pauni Milioni 100 za usajili

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BAADA YA ZAHMA LA JANA REAL, YABAINIKA MOURINHO ANAONDOKA NA RONALDO KWENDA CHELSEA...MAN U WALIE TU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top