NYOTA wa Barcelona, Gerard Pique na Alex Song walizpiga kavu kavu wakati wa sherehe wa timu hiyo kushangilia ubingwa wa La Liga kwenye basi.
Kiungo wa zamani wa Song na Pique walionekana kupigana wakati basi likikatiza mitaa ya Jiji hilo la Catalan.
Nahodha wa klabu, Carles Puyol na kipa Victor Valdes ndio waliokuwa mstari wa mbele kuwaamulia.
Mkono huo: Gerard Pique (kulia) na Alex Song wakipigana ndani ya basi la Barcelona
Victor Valdes (kushoto) na Alexis Sanchez (kuluia kabisa) wakiwatazama wawili hao wakizipiga
Ndondi
Wanafurahia? Wachezaji wengine wa Barcelona walikuwa wakiwaangalia tu Song na Pique wakipigana
Mbata: Song anaonekana akimpa mbata Pique
Wanaamuliwa: Carles Puyol (nyuma) akiamulia
Puyol na Valdes wakijadiliaa wakati wakiwaamulia
VIDEO: Angalia shangwe za ubingwa Barcelona
VIDEO: Angalia Puyol na Pique wakipiga masanga kwenye basi