// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WAYNE ROONEY APAMBANA VIKALI KUOKOA NAMBA YAKE KIKOSI CHA KWANZA MAN UNITED, AJITUMA ILE MBAYA MAZOEZI LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WAYNE ROONEY APAMBANA VIKALI KUOKOA NAMBA YAKE KIKOSI CHA KWANZA MAN UNITED, AJITUMA ILE MBAYA MAZOEZI LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Saturday, April 20, 2013

        WAYNE ROONEY APAMBANA VIKALI KUOKOA NAMBA YAKE KIKOSI CHA KWANZA MAN UNITED, AJITUMA ILE MBAYA MAZOEZI LEO


        MSHAMBULIAJI Wayne Rooney wazi alionekana mwenye kupambana na tetesi za kuondoka kwake Manchester United wakati wa mazoezi ya timu hiyo leo.
        Huku timu hiyo ikijiandaa na mchezo wake wa Jumatatu na Aston Villa, mshambuliaji huyo England alionekana kujituma kwa vitendo licha ya tetesi za kuwa mbioni kuhamia PSG ya Ufaransa.
        Kocha wa United, Sir Alex Ferguson alikuza tetesi za Rooney kuondoka baada ya kusema mshambuliaji huyo hana tena uhakika wa namba katika kikosi cha kwanza.
        Getting stuck in: Wayne Rooney flies into a tackle on Ryan Giggs in Manchester United's training today
        Jino kwa jino: Wayne Rooney akiteleza kuchukua mpira miguuni mwa Ryan Giggs katika mazoezi ya Manchester United leo
        Rooney
        Rooney
        Rooney
        Tabasamu mwanana: Rooney alikuwa katika ari nzuri leo licha ya tetesi za kuondoka Old Trafford mwishoni mwa msimu
        Out in the cold? Sir Alex Ferguson watches Rooney and the rest of his United troops in traning today
        Nje kwenye baridi? Sir Alex Ferguson akimuangalia Rooney na wachezaji wenzake wa United mazoezini leo
        Table
        Kwa kuanza kwenye nafasi ya kiungo mshambuliaji katika mechi mbili zilizopita, Rooney si mshambuliaji chaguo la kwanza tena, na alitolewa baada ya kucheza ovyo katika mechi iliyopita dhidi ya West Ham.
        Ferguson alisema: "Tunachukua timu ya ushindi na tulifanya hivyo kwa Stoke. Nitaendelea kufanya hivyo hivyo (dhidi ya Aston Villa) Jumatatu.
        "Kama ilivyokuwa Jumatano kumtoa ilikuwa rahisi, hakucheza vizuri kama Shinji Kagawa na tulipata bao tulilohitaji.  
        "Kuna mechi nyingi ambazo Wayne Rooney amekuwa mchezaji bora zaidi ya wachezaji wengine, lakini katika usiku huo, Shinji alicheza vizuri sana,".
        Pointi tatu katika mechi ya Jumatatu pia zitaifanya United ijihakikishie ubingwa wa Ligi Kuu ya England kwa mara ya 20, iwapo jirani zao City watafungwa na Tottenham Jumapili.
        Fighting fit: United, with Anderson (left) and Danny Welbeck, were training ahead of the Aston Villa clash
        Kupambana kuwa fiti: Wachezaji wa United, Anderson (kushoto) na Danny Welbeck, wakijifua kujiandaa na mechi dhidi ya Aston Villa
        United
        Replacement? Ferguson said Shinji Kagawa played much better than Rooney on Wednesday
        Mbadala? Ferguson amesema Shinji Kagawa alicheza vizuri zaidi ya Rooney Jumatano
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: WAYNE ROONEY APAMBANA VIKALI KUOKOA NAMBA YAKE KIKOSI CHA KWANZA MAN UNITED, AJITUMA ILE MBAYA MAZOEZI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry