BEKI Mfaransa Patrice Evra alishangilia taji la 20 la ubingwa wa Ligi Kuu England kwa klabu yake, Manchester United jana kwa kumkebehi mpinzani wake, Luis Suarez aliyemng'ata Branislav Ivanovic.
Baada ya United kuiachapa Aston Villa 3-0 Old Trafford, Evra aliibuka na mkono wa bandi akijifanya anaung'ata upande wa majukwaa kumkebehi mshambuliaji wa Liverpool.
Wawili hao waliingia kwenye bifu baada ya Suarez kufungiwa mechi nane kwa kukutwa na tuhuma za kumfanyia vitendo vya kibaguzi Mfaransa huyo mweusi Uwanja wa Anfield, Oktoba mwaka 2011.
Armless fun: Patrice Evra mocked Luis Suarez at full time by biting into a fake arm
Joke: The arm was thrown onto the pitch from the stands at Old Trafford
Celebrations: Evra pulled off his practical joke just after United sealed the Premier League title
Having fun? Evra poses with Shinji Kagawa and Ryan Giggs and the magic hand
That's enough: Evra throws the joke arm back into the crowd
Suarez na Evra hawakupenda mikono wakati timu hizo zilipokutana mwaka uliofuata Uwanja wa Old Trafford na beki wa United alishangilia ushindi wa mabao 2-1 wa timu yake siku hiyo mbele ya Suarez.
Jana, Suarez aliadhibiwa kwa kumng'ata Ivanovic wa Chelsea, nyota huyo wa Uruguay akitozwa faini ya Pauni 300,000 na klabu yake kwa kitendo hicho.
Hungry? Suarez bit Chelsea's Branislav Ivanovic during Liverpool's match against Chelsea
Moment of madness: Suarez was fined by his club and charged with violent conduct by the FA
Stunned: Ivanovic gestures towards referee Kevin Friend after the incident
Manchester United had just beaten Aston Villa 3-0 at Old Trafford to clinch the 2012-13 Premier League crown.
Lethal Dutch striker Robin van Persie netted a hat-trick as United regained the title they lost to their rivals Manchester City in dramatic fashion last season.
History: Suarez was banned for eight matches after being found guilty of racially abusing Evra in 2011
Bad blood: The pair didn't shake hands when United and Liverpool met at Old Trafford the following February
Rivals: Evra celebrated United's 2-1 win that day right in front of Suarez
VIDEO: Luis Suarez bites Branislav Ivanovic