
Tuesday, April 30, 2013

Kocha Stewart Hall, akiwaongoza wachezaji wake mazoezini jioni ya leo viwanja vya Maamora Na Mahmoud Zubeiry, Rabat AZAM FC leo imefan...
MBERWA KUCHEZESHA YANGA NA COASTAL KESHO TAIFA
Tuesday, April 30, 2013
Yanga SC Na Boniface Wambura REFA Simon Mberwa kutoka Pwani, atachezesha mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kesho Uwanja wa Ta...
MECHI YA SIMBA, POLISI MOROGORO YAINGIZA MILIONI 18
Tuesday, April 30, 2013
Simba SC Na Boniface Wambura MECHI namba 163 ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara iliyochezwa juzi (Aprili 28 mwaka huu) kwenye Uwanja...
MTANZANIA APEWA ITC KUCHEZA MSUMBIJI
Tuesday, April 30, 2013
Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kushoto, wanacheza DRC. Idadi ya Watanzania wanaocheza nje yazidi kuongezeka Na Boniface Wambura SH...
HANS POPPE AWATULIZA NAFSI SIMBA SC, ASEMA SHOMARY KAPOMBE HAENDI CHAMAZI WALA JANGWANI
Tuesday, April 30, 2013
Ametoa onyo; Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Simba SC, Zacharia Hans Poppe amesema Kapombe haondoki Msimbazi Na Prince Akbar MWENYEKIT...
UONGOZI AZAM FC WAFIKIRIA KUIPELEKA TIMU HISPANIA, LAKINI...
Tuesday, April 30, 2013
Msafara wa Azam FC ukitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Casablanca jana, tayari kwa safari ya Rabat Na Mahmoud Zubeiry, Rabat UONGOZI wa...
RONALDO LIMA ATOA NUKSI MARACANA, AFUNGA BAO LAKE LA KWANZA JANA USIKU KATIKA SHEREHE ZA UFUNGUZI BAADA YA UKARABATI WA MIAKA MITATU
Tuesday, April 30, 2013
UWANJA maarufu wa Brazil, Maracana Stadium umefunguliwa tena jana usiku baada ya miaka mitatu ya ukarabati, na upo tayari kwa fainali ya ...
BILIONEA WA MAN CITY SHEIKH MANOUR KUWEKEZA DOLA MILIONI 100 KUANZISHA TIMU MPYA MLS
Tuesday, April 30, 2013
MMILIKI wa Manchester City, Sheikh Mansour wa Abu Dhabi yupo karibuni kuwekeza kiasi cha dola za Kimarekani, Milioni 100 kuanzisha timu mpy...
ADAM NDITI AENDELEA KUWA NJE CHESLEA IKICHAPWA 1-0 NA NORWICH FAINALI KOMBE LA FA
Tuesday, April 30, 2013
KIUNGO chipukizi Mtanzania, Adam Nditi jana aliendelea kuwa nje wakati timu yake, Chelsea ilipolala 1-0 mbele ya Norwich ugenini, bao pekee ...
BENTEKE APIGA TATU PEKE YAKE VILLA IKIITANDIKA SUNDERLAND 6-1
Tuesday, April 30, 2013
VITA YA KUEPUKA KUSHUKA DARAJA... TMSHAMBULIAJI Christian Benteke amezidi kumuweka katika wakati mgumu kocha Mtaliano, Paolo Di ...
Monday, April 29, 2013
WENGER ACHARUKA, AMUAMBIA FERGUSON; "HUPATI TENA MCHEZAJI ARSENAL"
Monday, April 29, 2013
KOCHA Arsene Wenger amesema kwamba hatauza mchwezaji wake yeyote mwingine wa Arsenal kwenda Manchester United, baada ya Robin van Persie k...
AZAM WATUA RABAT WAMECHOKA ILE MBAYA KWA UREFU WA SAFARI
Monday, April 29, 2013
Kocha wa Azam FC, Stewart Hall akizungumza na Florian Kaijage Mratibu wa klabu katika mashindano ya Afrika, baada ya kuwasili Cassablanca ...
Subscribe to:
Posts (Atom)