// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WILSHERE AMJIBU THEO WALCOTT, NAYE ATUA NA FERRARI LA HATARI MAZOEZINI ARSENAL - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WILSHERE AMJIBU THEO WALCOTT, NAYE ATUA NA FERRARI LA HATARI MAZOEZINI ARSENAL - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, March 02, 2013

    WILSHERE AMJIBU THEO WALCOTT, NAYE ATUA NA FERRARI LA HATARI MAZOEZINI ARSENAL


    KIUNGO Jack Wilshere aliwasili katika Uwanja wa mazoezi wa Arsenal jana akiwa na gari la hatari aina ya Ferrari ili kufanana na mchezaji mwenzake, Theo Walcott.
    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 amechukua aina ile ile ya gari Kitaliano kama alivyofanya Walcott wiki iliyopita katika kipindi ambacho Arsenal inajiandaa vyema na mchezo dhidi ya mahasimu wao wa Kaskazini mwa London kwenye Uwanja wao wa Colney.
    The Gunners watasafiri Kaskazini mwa London kesho kwenda kupambana na wapinzani wao wakuu, Tottenham. 
    Next stop Tottenham: Jack Wilshere in his Ferrari at Arsenal's Colney training ground
    Breki ya kwanza Tottenham: Jack Wilshere akiwa na gari lake aina ya Ferrari katika Uwanja wa mazoezi wa Arsenal, Colney jana
    Snap: Wilshere's team-mate Theo Walcott in the same Ferrari model
    Mchezaji mwenzake Wilshere, Theo Walcott akiwa katika Ferrari kama ile ile
    Preparation: Walcott and Wilshere in training
    Maandalizi: Walcott na Wilshere wakijifua na wenzao
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: WILSHERE AMJIBU THEO WALCOTT, NAYE ATUA NA FERRARI LA HATARI MAZOEZINI ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top