NYOTA Cristiano Ronaldo jana alizawadiwa tuzo ya Alfredo Di Stefano kwa kuwa Mchezaji Bora msimu uliopita wa La Liga, lakini hata hivyo akagoma kuthibitisha kama atabaki Real Madrid.
HESHIMA, MATAJI:
1 Kombe la Ulaya (Manchester United, 2008)
3 Ligi Kuu England (Manchester United, 2007, 2008, 2009) 1 Kombe la FA (Manchester United, 2004) 1 Kombe la Ligi (Manchester United, 2006) 1 Ligi ya Hispania (Real Madrid, 2012) 1 Kombe la Hispania (Real Madrid, 2011)
1 Super Cup ya Hispania (Real Madrid, 2012) 1 Ligi ya Ureno (Sporting Lisbon, 2002 1 Super Cup ya Ureno (Sporting Lisbon, 2002) 1 Kombe la Ureno (Sporting Lisbon, 2002)
Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Ureno alikuwa tegemeo la Real wakati wakiwafunga wapinzani wao Barcelona kutwaa taji lao la kwanza la ligi tangu mwaka 2008 na mbele ya wengi anaonekana kama miongoni mwa wachezaji bora duniani.
Lakini kama ilivyo kwa kocha Jose Mourinho anataka kuondoka mwishoni mwa msimu, akifikiriwa kutimkia ama Manchester United au Paris Saint-Germain, kuna shaka mchezaji huyo ataondoka na mwalimu wake.
Ukweli ni kwamba Ronaldo, hakujadili mustakabali wake katika klabu baada ya kukabidhiwa tuzo na Di Stefano mwenyewe.
Cristiano Ronaldo akikabidhiwa tuzo na Di Stefano
Di Stefano alipokutana uso kwa uso na Ronaldo
Bora La Liga? Ronaldo alizawadiwa tuzo hiyo kutokana na mchango wake wa msimu wa 2011/2012
WAKALI KWELI: ALFREDO DI STEFANO V CRISTIANO RONALDO
Alfredo Di Stefano
Kuzaliwa: Julai 4, 1926
Alipozaliwa: Buenos Aires (Argentina)
Nafasi: Mshambuliaji
Alipozaliwa: Buenos Aires (Argentina)
Nafasi: Mshambuliaji
Klabu: River Plate (1945, 1947-49 ), Huracán (1946), Millonarios (1949-52), Real Madrid (1953-64), Espanyol (1964-66).
Timu ya taifa: Mechi 31 (Mabao 23) akiwa na Hispania; Mechi 6 (Mabao 6) na Argentina
Timu ya taifa: Mechi 31 (Mabao 23) akiwa na Hispania; Mechi 6 (Mabao 6) na Argentina
HESHIMA, MATAJI:
5 Kombe la Ulaya (Real Madrid, 1956, 1957, 1958, 1959, 1960)
1 Kombe la Mabara (Real Madrid, 1960)
1 Kombe la America (River Plate, 1947)
8 Ligi ya Hispania (Real Madrid, 1954, 1955, 1957, 1958, 1961, 1962, 1963, 1964)
1 Kombe la Hispania (Real Madrid, 1962)
2 Ligi ya Argentina (River Plate, 1945, 1947)
4 Ligi ya Colombia (Millonarios Bogotá, 1949, 1951, 1952, 1953)

Cristiano Ronaldo
KUzaliwa: Februari 5, 1985
Alipozaliwa: Funchal, Madeira (Ureno)
Nafasi: Mshambuliaji
Alipozaliwa: Funchal, Madeira (Ureno)
Nafasi: Mshambuliaji
Klabu: Sporting Lisbon (2001-2003), Manchester United (2003-2009), Real Madrid (2009 hadi sasa).
Timu ya taifa: Mechi 101 (Mabao 38) na Ureno