|
KOCHA wa Real Madrid, Jose Mourinho atakuwa na Mtaa wenye jia lake mjini Setubal, katika mji aliozaliwa nchini Ureno, Jiji hilo limetangaza jana.
Mji huo, ambao unatoa Mtaa utakaopewa jina la Kocha huyo Mreno, uko mbali wa kilomita 50 kusini mwa Jiji la Lisbon."Jose Mourinho ni leo, yupo katika stahiki kabisa, mmoja kati ya waheshimiwa wakubwa na makocha wa hadhi ya juu katika dunia hii," ilisema taarifa hiyo.