![]() |
Manji kushoto akimkabidhi Katiba ya Yanga, Mjumbe mwingine, Balozi Ammy Mpungwe |
![]() |
Manji akimkabidhi Katiba, Mjumbe mwingine, Francis Mponjoli Kifukwe kulia |
![]() |
Manji kushoto akimuonyesha Mh. Mkuchika mali za klabu zilizopo makao makuu ya klabu |
![]() |
Mkuchika pembeni ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga akishika moja ya mashine za gym za klabu hiyo |
![]() |
Balozi Mpungwe akifanya mazoezi kwenye moja ya mashine za gym za klabu hiyo |
![]() |
Francis Kifukwe kulia akiwaonyesha ukubwa wa eneo la Yanga maeneo ya Jangwani, Mh Mkuchika na Balozi Mpungwe |
![]() |
Mh Mkuchika akiuliza zaidi kwa Kifukwe kuhusu ukubwa wa eneo la klabu |
![]() |
Katibu wa Yanga, Lawrence Mwalusako kushoto akiwaonyesha Mh Mkuchika na Balozi Mpungwe vyumba vya wachezaji katika jengo hilo |
![]() |
Katika picha ya pamoja ni viongozi wa Yanga Wajumbe wa Baraza la Wadhamini |
![]() |
Mwanachama wa Yanga, Thomas Mdeka akifurahia Bodi ya Wadhamini kwa kusema; Yanga oyeeeee |