• HABARI MPYA

        Monday, March 25, 2013

        MAMBO HAYA NI KWENYE MCHEZO HUU TU!


        HAYA si marudio ya ubunifu wa gwiji wa tenisi, Martin Elliott katika posta lake la mwaka 1976, lakini kitu fulani pamoja na hayo ni maumivu zaidi.
        Wakati binti wa miaka 19, Lauren Davis akipoteza mchezo wa Raundi ya Tatu kwenye michuano ya Sony Open, haikuwa kipigo ambacho ambacho kilimuumiza.
        Wakati akifungwa na mchezaji namba 36 kwa ubora duniani, Alize Cornet chini ya jua la Florida, Mmarekani huyo aliumizwa na kupeperuka kwa sketi yake nyuma.
        Lauren Davis of the USA reacts after being stung by a wasp
        Lauren Davis of the USA reacts after being stung by a wasp
        Shambulio la mpeperuko: Lauren Davis aliumizwa mno na kitendo cha kupeperuka kwa sketi yake nyuma wakati akicheza na Alize Cornet 
        Lauren Davis of the USA reacts after being stung by a wasp
        Lauren Davis of the USA reacts after being stung by a wasp
        Alikuwa katika maumivu ya kawaida wakati akifungwa kwa 2-6, 6-3, 6-2, lakini hakulalamikia kipigo hicho kutokana na kupeperuka kwa sketi yake nyuma.
        Picha ya Davis inakumbushia posta la picha ya gwiji wa tenisi iliyopigwa na Elliott ya mcheza tenisi huyo wa kike, aliyekuwa rafiki yake wa kike wakati huo, ambayo iliuza nakala zaidi ya Milioni mbili.
        Martin Elliot's original image
        Sharapova
        Gwiji: Picha iliyopigwa na Martin Elliot (kushoto) ilirudiwa kubuniwa kabla, bila Maria Sharapova kujua
        Old times: Fiona Walker, at 53, poses with a picture of herself as the 18-year-old 'Athena tennis poster girl'
        Enzi hizo: Fiona Walker, akiwa na umri wa miaka 53, amepozi na picha yake aliyopigwa akiwa na umri wa miaka 18 akicheza tenisi.
        Na nani anaweza kusahau...
        Another version: Pop star Kylie Minogue posed for magazine GQ back in 2000

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: MAMBO HAYA NI KWENYE MCHEZO HUU TU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry