• HABARI MPYA

        Saturday, March 23, 2013

        BIN ZUBEIRY KATIKA WARSHA YA WIZARA YA FEDHA LEO

        Washiriki wa warsha ya kujadili na kuboresha mkakati wa Mawasiliano wa Wizara ya Fedha, kutoka vyombo vya Habari mbalimbali nchini wakijadiliana leo katika ukumbi wa Kilimanjaro Park Hotel, Kibaha mkoani Pwani. 

        Kulia ni Othman Michuzi wa Mtaa kwa Mtaa Blog, akiwa na Dina Ismail wa Sports Lady Blog kushoto wakisikiliza kwa makini mjadala huo

        Kulia ni Mahmoud Zubeiry wa Bin Zubeiry Blog akiwa na Henry Mdimu wa gazeti la Mwananchi na Ahmed Michuzi wa Jiachie Blog 

        Kushoto ni Thabit Matotola kutoka kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha na kulia Anthony Siame kutoka kampuni ya New Habari

        Kutoka kulia Cuthbert Kajuna, Mdimu, Ahmad Michizi, Othman Michuzi na John Bukuku wa Full Shangwe 

        Bin Zubeiry, Mdimu na Othman

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments
        Item Reviewed: BIN ZUBEIRY KATIKA WARSHA YA WIZARA YA FEDHA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry