MSHAMBULIAJI Mario Balotelli alifunga bao muhimu wakati Itali inatoka nyuma na kupata sare ya 2-2 na Brazil katika mchezo safi wa kirafiki uliopigwa mjini Geneva jana.
Ilionekana kama Brazil itashinda kutokana na kuongoza kwa mabao 2-0 hadi mapumziko, kutokana na mabao ya Fred na Oscar.
Hata hivyo, Daniele De Rossi akapunguza la kwanza dakika ya tisa baada ya kipindi cha pili na Balotelli akasawazisha kwa shuti la umbali wa mita 25 dakika tatu baadaye, hivyo kufikisha mabao nane aliyoifungia nchi yake na klabu yake kwa mwaka huu 2013.
VIKOSI, WAFUNGAJI...
Italia: Buffon, Maggio, Bonucci, Barzagli,
De Sciglio/Antonelli dk74, De Rossi/Diamanti dk80, Pirlo/Cerci dk46), Montolivo, Giaccherini/Poli dk68, Osvaldo/El Shaarawy dk46, Balotelli/Gilardino dk83.
De Sciglio/Antonelli dk74, De Rossi/Diamanti dk80, Pirlo/Cerci dk46), Montolivo, Giaccherini/Poli dk68, Osvaldo/El Shaarawy dk46, Balotelli/Gilardino dk83.
Bencho: De Sanctis, Abate, Giovinco, Astori, Ranocchia, Candreva, Sirigu, Marchetti.
Kadi za njano: Maggio na Poli.
Wafungaji: De Rossi dk54 na Balotelli dk57.
Brazil: Julio Cesar, Dani Alves, Luiz, Dante,
Filipe Luis/Marcelo dk77, Fernando, Hernanes/Gustavo dk90, Oscar/Kaka dk62, Neymar, Fred/Diego Costa dk69, Hulk/Jean dk85.
Filipe Luis/Marcelo dk77, Fernando, Hernanes/Gustavo dk90, Oscar/Kaka dk62, Neymar, Fred/Diego Costa dk69, Hulk/Jean dk85.
Benchi: Cavalieri, Thiago Silva, Osvaldo.
Kadi za njano: Fred, Hernanes na Filipe Luis.
Wafungaji: Fred dk33 na Oscar dk42.
Mahudhurio: 28,000
Refa: Stephan Studer (Uswisi).
Mkwaju: Mario Balotelli akifumua shuti la mbali kuifungia Italia bao la kusawazisha katika sare ya 2-2 na Brazil
Kitu nyavuni: Kipa wa Brazil, Julio Cesar akiruka bila mafanikio kujaribu kudaka shuti la Balotelli
Bao la kwanza: Mshambuliaji wa Brazil, Fred aliifungia bao la kuongoza timu yake