Mashabiki wa Ashanti wakipuliza vuvuzela |
Kipa wa Villa Squad, Mohamed Bambino akidaka mpira mbele ya kiungo wa Ashanti, Shaaban Habib |
Hii ni patashika... |
Kipa wa Villa, Mohamed Bambino akiruka juu kupangua mpira wa kona |
Beki wa Villa akipiga mpira kichwa kwenye kona ya lango kuokoa moja ya hatari za kutiha |
Ally Mrisho wa Villa Squad akiruka sarakasi kushangilia bao la kwanza la kusawazisha aliloifungia timu yake |
Beki wa Villa Squad kulia akigombea mpira Shaaban Habib wa Ashanti |
Mashabiki wa Ashanti wakiondoka kwa maandamano ya furaha |
Mashabiki wa Villa Squad, wa katikati anakula bia wengine wanaendelea na burudani nyingine |