
Sunday, March 31, 2013

Mrisho Ngassa; Hakucheza Shinyanga leo, alibaki Mwanza kusherehekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 23 leo Na Princess Asia BAAD...
SIMBA, AZAM YANGA WAJIPANGE KWA MGAMBO, IMEPANIA MBAYA
Sunday, March 31, 2013
Kikosi cha Mgambo; Azam, Simba na Yanga wajipange Na Baraka Mpenja SIMBA SC na Yanga pamoja na Azam, wote wana mechi na Mgambo Shootin...
STEVE GERRARD AING'ARISHA KWA TUTA LIVERPOOL
Sunday, March 31, 2013
KLABU ya Aston Villa inaendelea kuishi mkiani mwa Ligi Kuu ya England nafasi ya tatu kutoka chini, baada ya leo kupigwa mabao 2-1 na Liver...
SIMBA SC WATUA SHINYANGA KUSAFISHA NYOTA
Sunday, March 31, 2013
Yosso wa Simba; Watasafisha nyota Shinyanga leo? Na Princess Asia BAADA ya jana kulazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na wenyeji To...
MWINYI KAZIMOTO ANAKWENDA WAPI?
Sunday, March 31, 2013
GWIJI wa soka duniani, Edison Arantes do Nascimento maarufu kama Pele, aliwahi kusema; “Success is no accident. It is hard work, persever...
Saturday, March 30, 2013
MANA CITY, ARSENAL, SPURS ZAUA ENGLAND, CHELSEA CHALIIIII
Saturday, March 30, 2013
KLABU ya Arsenal imeongeza matumaini ya kucheza Ligi ya mabingwa kufuatia ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Reading kwenye Uwanja wa Emirates,...
KAGERA SUGAR WAISHUSHIA MBALI SIMBA SC LIGI KUU
Saturday, March 30, 2013
Kagera Sugar; Wameishusha Simba SC P W D L GF GA GD Pts 1 Yanga 21 15...
MAN UNITED KWAPA NA BEGA NA UBINGWA LIGI KUU ENGLAND BAADA YA KUIFUMUA SUNDERLAND 1-0 JIONI HII
Saturday, March 30, 2013
BAO la bahati mbaya la kujifunga la Titus Bramble limeiwezesha Manchester United kuendelea kuning'inia kileleni mwa Ligi Kuu ya Englan...
SIMBA SC YAIKOSAKOSA TOTO AFRICAN MWANZA, UZEMBE WA MABEKI WAIKOSESHA USHINDI TIMU KIRUMBA
Saturday, March 30, 2013
Mrisho Ngassa; Mfungaji wa bao la pili la Simba SC Na Asha Saidi, Mwanza SIMBA SC imelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na wenyeji...
YANGA YAPUNGUZAWA KASI MOROGORO, AZAM SPIDI 200 HADI KWENYE MATUTA
Saturday, March 30, 2013
Yanga SC; Imepunguzwa kasi Na Samira Said, Morogoro VINARA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Yanga SC leo wamepunguzwa kasi baada ...
MRISHO NGASSA NA CRISTIANO RONALDO...
Saturday, March 30, 2013
KARIBUNI sana katika safu hii mpya iitwayo Ordem e Progresso . Hii ni safu mpya katika blogu hii ya rafiki yangu Mahmoud Zubeiry. Hii ni zaw...
HARUNA CHANONGO NJE SIMBA IKIMENYANA NA TOTO LA YANGA KIRUMBA LEO
Saturday, March 30, 2013
Kiberenge; Haruna Chanongo atakosekana leo Kirumba Na Princess Asia HABARI mbaya zaidi kwa Wekundu wa Msimbazi; Kiungo matata wa pembe...
AKINA NDITI WAVIPIGA NNE VITOTO VYA WENGER NA KUTINGA FAINALI
Saturday, March 30, 2013
BAO la Lewis Baker katika dakika za nyongeza limeiwezesha timu ya vijana ya Cheslea kushinda mechi ya Nusu Fainali ya michuano ya vijana, ...
MAN UNITED WAITWA NA BABA YAKE THIAGO WA BARCA WABEBE KIFAA
Saturday, March 30, 2013
KLABU ya Manchester United itaanza tena jitihada zake za kumsajili kiungo wa Barcelona, Thiago Alcantara baada ya baba yake kusema kijana ...
Friday, March 29, 2013
HARUNA NIYONZIMA AREJEA DAR
Friday, March 29, 2013
Yanga SC; Kuendeleza wimbi la ushindi kesho? Na Mahmoud Zubeiry KIUNGO wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima am...
DHAIRA, MUDDE SASA PASUA KICHWA SIMBA SC, BABU MFARANSA KATIKA WAKATI MGUMU ZAIDI KESHO NA TOTO LA YANGA
Friday, March 29, 2013
Kocha Liewig kulia akitoa maelekezo kwa Nahodha wa kikosi chake, Juma Kaseja Na Mahmoud Zubeiry WANASOKA wawili wa kimataifa wa Uganda...
Subscribe to:
Posts (Atom)