Jerry Tegete kulia akimpongeza Nizar Khalfan baada ya kufunga bao la nne katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam dhidi ya African Lyon. Yanga ilishinda 4-0.
Athumani Iddi 'Chuji' kulia akimpongeza Nizar. Mwingine kulia ni Frank Domayo
Chuji anafumua shuti
Simon Msuva anapasua katikati ya mabeki ya Lyon
Shujaa wa Yanga leo, Jerry Tegete
Hamisi Kiiza akikabiliana na beki wa Lyon
Haruna Niyonzima anamtoka beki wa Lyon
Kikosi cha Yanga SC leo
Kikosi cha Lyon leo
Didier Kavumbangu akishangilia bao lake
Simon Msuva akichanja mbuga
Mabeki wa Lyon, wakimdhibiti Kiiza
Hamisi Kiiza akimtoka beki wa Lyon
Kavumbangu nyuma akimpongeza Nizar
Juma Abdul akichuana na beki wa Lyon
Jerry Tegete akijaribu kubinuka tik tak katikati ya mabeki wa Lyon
Jerry Tegete kulia akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Lyon
Tegete anafumua shuti
Haruna Niyonzima akienda chini baada ya kugongana na beki wa Lyon
Kiiza kushoto akiwatoka mabeki wa Lyon
Tegete akiwa chini baada ya kuzidiwa nguvu na mabeki wa Lyon
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...