![]() |
Kevin Twissa akifafanua jambo kuhusu M -Bet |
![]() |
Kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Michezo ya Kubahatisha, Tarimba Abbas akizungumzia mchezo wa M-Bet na kushoto ni Twissa akimskiliza kwa makini |
![]() |
Meneja Miradi wa m-Bet, Richard Mushi akifafanua jambo jana |
![]() |
Waalikwa wakifuatilia |
![]() |
Waalikwa wakiburudika na kufuatilia maelekezo ya M-Bet |
![]() |
Kevin Twissa akizungumza kwa msistizo |